Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

jojobet

Hacklink panel

holiganbet

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

TASNIA YA HABARI BARANI AFRIKA YATAKIWA KUTUMIKA KUISAIDIA JAMII

Written by Alex Sonna

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.  Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Said Mohamed Mtanda akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.Mkurugenzi wa UNESCO kanda ya Afrika Mashariki, Prof. Hubert Gijzenz akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Deodatus Balile, akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.Mkurugenzi wa Mawasilianon wa Tume ya Muungano wa Umoja wa Afrika, Musabayana Wynne Zvinaiye akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.  Nape Nnauye akisalimiana na Balozi Manfredo Fanti, mwakilishi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania mara baada ya ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha. 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.  Nape Nnauye (wa kwanza kulia), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi ( wa pili kulia) na baadhi ya viongozi wakipitia  mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa maonesho hayo kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

***************************

Na Mwandishi Wetu, ARUSHA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wanatasnia ya habari barani Afrika kuhakikisha wanaisaidia jamii kubadili mtazamo kwa kuona fursa zilizopo na kujivunia kuwa sehemu ya bara la Afrika lenye rasilimali za kutosha

Waziri Nape amezungumza hayo akizindua maonesho ya utangulizi kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanayofanyika Mei 3 ya kila mwaka, ambapo kwa mwaka huu wa 2022 Tanzania imekuwa mwenyeji wa maadhimisho hayo kwa Bara la Afrika yanayofanyika katika jijini Arusha

“Bara letu la Afrika lina rasilimali nyingi za kutosha na maeneo mengi rasilimali hizi zimegeuka kuwa laana kwa watu nadhani wakati umefika kwa wanahabari tuchukue uamuzi wa kusaidia bara letu lifaidike na rasilimali zake na watu wake waone matokeo ya baraka za rasilimali kwenye jamii zetu,”

Ameongeza kuwa, “Inauma kuona tunateswa na rasilimali zetu wenyewe kwa sababu tunaona maeneo yenye rasilimali za kutosha ndio kwenye magomvi mengi na ndipo ambapo watu wake wanateseka sana lakini ukipewa hesabu ya rasilimali tulizonazo ukilinganisha na mabara mengine hatupaswi kuwa hapa tulipo hivyo wanahabari tusimame kubadilisha mtazamo wa mambo haya na ninaamini inawezekana kila mmoja wetu akitimiza wajibu wake.”

Katika hatua nyingine Waziri huyo amezungumzia changamoto za tasnia ya habari zinazotokana na mabadiliko ya kukua kwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kuwa hazikwepeki na hata tukiamua kusubiri bado mabadiliko hayo duniani yatatulazimu kwenda  katika ulimwengu wa dijiti

Aidha, amesema kwa upande wa Serikali ya Tanzania, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndilo lenye dhamana ya kutunga, kurekebisha au kufuta Sheria ambazo zinakuwa hazitekelezeki au zinazokinzana na hali halisi hivyo Wizara anayoiongoza inaendelea kukamilisha uwasilishaji wa mapendekezo ya marekebisho ya sheria tajwa kwa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu za uwasilishaji wa mapendekezo hayo na Bunge lipo tayari kupitisha

Amesema kuwa mabadiliko ya kidijiti yamechangia kutokea kwa mijadala mikubwa inayoendelea kuhusu crypto currency na usalama wa mifumo ya kielektroniki hivyo amewataka wanahabari kutumia taaluma zao kufanya uchambuzi na kuainisha fursa zinazokuja na maendeleo ya kidijiti ili kusaidia jamii zetu kuziona fursa kwenye mabadiliko hayo

“Tumepewa kalamu na uwezo wa kusaidia jamii zetu na kila mmoja akiamua kutekeleza wajibu wake hili linawezekana”, Amezungumza Waziri huyo

Naye Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa Wizara inaendelea kusimamia, kuboresha na kuwezesha upatikanaji wa fursa zinazotokana na mabadiliko ya kidijiti na kuifanya Wizara hiyo kuwa Wizara muhimu inayosimamia Sekta muhimu zinazochangia uchumi wa nchi na Wizara itaendelea kushirikiana na wanahabari kuboresha mazingira ya kufanya kazi kwa uhuru, ubunifu na kwa mujibu wa sheria

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa mwaka huu wa 2022 yana kauli mbiu ya “Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti” kwa Bara la Afrika yanafanyika jijini Arusha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amethibitisha kuwa Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho hayo

About the author

Alex Sonna