Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UONGOZI WA BENKI YA NMB UKIONGOZWA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA NMB BI.RUTH ZAIPUNA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa hiyo Bi.Ruth Zaipuna (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-4-2022.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor