Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM TAIFA,RAIS SAMIA ASHIRIKI UCHAGUZI WA SHINA CHAMWINO IKULU 

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitumbukiza karatasi ya Kura kwenye boksi kuwachagua Wajumbe wa Shina namba 1 la Chama hicho Chamwino Ikulu Jijini Dodoma 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanachama wa CCM mara baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Shina namba 1 la Chama hicho Chamwino Ikulu Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo kabla ya kumpigia kura Mwenyekiti na Wajumbe wa Shina namba 1 la Chama hicho Chamwino Ikulu Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti na Wajumbe wapya wa Shina namba 1 la Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino Ikulu waliochaguliwa tarehe 30 Aprili, 2022 Jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor