Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MEI MOSI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Aprili 30, 2022, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kufanyia sherehe hizo kesho Mei 1, 2022. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipokagua maandalizi ya Sherehe hizo, zitakazofanyika kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Aprili 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor