slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

slot siteleri

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

Piabet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

KATAMBI AVUTA FOMU KUTETEA UBUNGE SHINYANGA MJINI

Written by Alex Sonna
Mhe. Patrobas Katambi akitoa neno la shukrani baada ya kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania tena nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.
Mhe. Patrobas Katambi akitoa neno la shukrani baada ya kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania tena nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.


Mhe. Patrobas Katambi akiwasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini leo Julai 2,2025 wakati kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania tenanafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi, amekuchua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania tena nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.
Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa ndani ya chama kwa ajili ya kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza baada ya kurejesha fomu hiyo leo Julai 2,2025 katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhe. Katambi ambaye ni Mbunge anayemaliza muda wake, anayewania kutetea nafasi hiyo kwa kipindi kingine, ameeleza dhamira yake ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Shinyanga Mjini kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kushirikiana na Serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.
“Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunisaidia kufika siku ya leo ikiwa ni hitimisho la miaka mitano ya utumishi katika nafasi ya ubunge. Aidha, namshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, pamoja na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kwa ujumla katika ngazi zote za uongozi kwa kuniamini na kunipa ridhaa ya kuwa kiongozi katika chama hiki pendwa”,amesema Mhe. Katambi.
 
“Nawashukuru sana viongozi wa chama ngazi ya mkoa na wilaya lakini zaidi wana-CCM wote pamoja na wananchi wa Jimbo la Shinyanga Mjini kwa kuniamini, kunishauri na kuniongoza, lakini pia kwa kuniambia pasina kificho nini nilipaswa kukifanya kwa ajili ya maendeleo ya Jimbo la Shinyanga Mjini”,ameeleza.
Mhe. Katambi amesema ana ushahidi na uhakika, na anajivunia heshima kubwa aliyopewa na wananchi wa Shinyanga.
Amesema uaminifu kutoka kwa wananchi, taasisi za dini, bodaboda, mama lishe na makundi mbalimbali, umekuwa chachu kubwa ya mafanikio aliyoyapata katika kipindi chake cha ubunge.
“Hakika nawaambia, katika kipindi cha miaka mitano tumefanikiwa kufanya mambo makubwa, mazito na mengi na kubadilisha sura ya Shinyanga na kuwa jinsi mnavyoiona leo”.
 
“Leo ni shukrani zangu, kama nilivyokuja tarehe 17 ya mwezi wa tano kutoa shukrani kwa wanachama wote wa CCM na viongozi wa CCM, na niliwaambia nawapa shukrani pamoja na kutoa zawadi, nikafanya hivyo. Lakini mkumbuke, kushukuru ni kuomba tena”,amesema Mhe. Katambi.
Ameeleza kuwa amerejesha fomu kuomba ridhaa ya kugombea kwa awamu nyingine, akisisitiza kuwa bado ana nguvu na ari ya kuendelea kutumikia chama, serikali na wananchi wa Jimbo la Shinyanga Mjini.
“Leo ninatoa neno langu la shukrani kuhitimisha utumishi wangu wa miaka mitano kama Mbunge wa Shinyanga Mjini. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, lakini pia Mhe. Rais Dkt. Samia na Mwenyekiti wa CCM, Katibu Mkuu, Makamu Mwenyekiti wa CCM, mamlaka zote, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, vikao vyote vya CCM, wanachama, viongozi wote wa CCM na wananchi , nawashukuru, wamenipa msaada mkubwa kufanikisha kufanya yote tuliyofanya”,amesema Mhe. Katambi
 
“Na naendelea kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo, niko tayari kuendelea kuwatumikia, kutumikia chama changu, serikali yangu, lakini pia wananchi wa Jimbo la Shinyanga Mjini”,ameongeza Mhe. Katambi.
Aidha Mhe. Katambi amewashukuru waandishi wa habari kwa mchango wao katika kusambaza taarifa na kuwakumbusha pale ambapo kulikuwa na mapungufu ili hatua zichukuliwe.
 
“Asanteni sana. Pia waandishi wa habari, nanyi pia mmekuwa sehemu ya chachu na changamoto kubwa ya kusaidia kukumbusha pale ambapo hatujafanya, ili twende tukafanye zaidi”,amesema.

About the author

Alex Sonna