marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

alobet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

ngsbahis

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

casinoroyal

bets10 güncel giriş adresi

Featured Kitaifa

SERIKALI KUPANUA WIGO UTOAJI MIKOPO ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI.

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda, akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB),Prof. Hamisi Dihenga lleo April 30,2022 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati alipokutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB) leo April 30,2022 jijini Dodoma.Kushoto ni Katibu Mkuu wake Prof. Eliamani Sedoyeka

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akifafanua jambo wakati akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB) leo April 30,2022 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka (katikati) wakati wa mkutano na Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB) leo April 30,2022 jijini Dodoma.kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB),Prof. Hamisi Dihenga,akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,mara baada ya kukutana na kuzungumza na Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB) leo April 30,2022 jijini Dodoma

Mwandishi wa habari kutoka Muungwana blog Ezekiel Mtonyole akimuuliza swali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda (hayupo pichani)  wakati wa kikao chake na  Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB) leo April 30,2022 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda (hayupo pichani) wakati wa kikao na Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB) leo April 30,2022 jijini Dodoma.

………………………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda, amesema kwa mwaka wa fedha ujao wa 2023/24,  Serikali inatarajia kupanua wigo wa utoaji mikopo kwa elimu ya ufundi ngazi ya Stashahada hususan kwa ujuzi na ufundi unaohitajika kwenye soko la ajira.

Hayo ameyasema leo April 30,2022 jijini Dodoma wakati akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB), Prof,Mkenda amesema kuwa kuna  umuhimu wa kupeleka mikopo katika elimu ya ufundi walau ngazi ya Stashahada(Diploma) kwenye vyuo vya ufundi.

Prof,Mkenda ameitaka  Bodi hiyo kujipanga ili ifikapo mwaka wa fedha 2023/24 kuanza kutoa mikopo kwa wanafunzi watakaosoma masomo ya Ufundi na ujuzi kwa ngazi ya Diploma.

“Kilio cha watu wengi kwasasa ni ajira, sasa sehemu ambayo ajira ni rahisi zaidi ni kwenye ujuzi na ufundi, kwa hiyo vyuo kama DIT, Arusha Technical, tumekubaliana kazi ifanyike tuone mwaka mpya wa fedha, ukiacha mwaka huu tuwe tumejiandaa kupeleka fedha kwa ajili ya ufundi, tungependa tuseme mapema ili watakaotaka kuomba sehemu ya kusoma watambue sehemu hii sasa itakuwa na fursa ya kupata mikopo.” amesema Prof. Mkenda.

Kuhusu kutoa ufadhili kwa wanafunzi watakaofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi, Prof.Mkenda amesema kuwa katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi.

Prof.Mkenda amesema  kuwa ufadhili huo utatolewa kwa asilimia mia moja kwa wanafunzi wachache na watasomeshwa ndani na nje ya nchi.

Amesema lengo la Serikali ni kuongeza fursa za upatikanaji wa elimu ya juu na kuhamasisha watoto wengi kupenda kusoma masomo ya Sayansi.

Mhe. Mkenda ametumia fursa hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza bajeti ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kutoka bilioni 464 hadi kufikia bilioni 570, kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya wanaochelewa kurejesha mikopo na kufuta asilimia 6 ya kulinda thamani.

Aidha Waziri Mkenda ametoa wito kwa wanafunzi wanaoomba mikopo ya elimu juu kutoa taarifa zote zinazotakiwa kwa ukamilifu na kwa wakati ili waweze kupata mikopo hiyo bila changamoto.

“Mkopo unatolewa kulingana na taarifa anazotoa mwombaji, ukitoa taarifa ambazo sio kamili kunakuwa na changamoto hivyo toeni taarifa kamili na Bodi itaendelea kuchakata taarifa hizo ili wanaostahili kupata mikopo wapate,” amefafanua Prof. Mkenda.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema kwa sasa Wizara imejipanga kuhakikisha Watanzania wengi wanapata fursa ya kusoma elimu ya juu kwa kuwezesha kufanya hivyo kulingana na malengo ya Taifa letu.

“Wote tunafahamu juhudi ambazo Serikali imeweka kwenye elimu msingi ambazo zimepelekea kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne na sita na wakiwa na ubora na kupelekea kuwa na vigezo vya kuendelea na elimu katika ngazi inayofuata hivyo kupekelea kuhitajika fedha kwa ajili ya kusomesha,” amesema Prof. Sedoyeka.

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB),Prof. Hamisi Dihenga amesema anatambua kuwa wana dhamana kubwa ya kuhakikisha utaratibu wa kutoa mikopo unaeleweka kwa Watanzania wote na unawasaidia wale wanaostahili kupata mikopo.

About the author

Alex Sonna