Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akitoka kwenye ukumbi Bungeni jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda Mjini, Robert Maboto Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wenye mahitaji maalum, kutoka Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea picha kutoka kwa Mkuu wa Kitengengo cha Watoto wenye uhitaji maalum Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, ambayo imetengenezwa kwa shanga na watoto hao, nje ya jengo la  Bunge jijini Dodoma, Aprili 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor