Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiteta na Elina Mwandu (mwenye Mahitaji Maalum) baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi katika uwanja wa Shule ya Msingi Msanga wilayani Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026.