marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet güncel giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

golegol

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

ngsbahis

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

marsbahis

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

cratosroyalbet

radissonbet

ibizabet

casibom

romabet

bahiscasino

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

teosbet

full mouth dental implants turkey

Featured Kitaifa

WAZIRI MBARAWA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TMA,ATOA MAAGIZO

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania uliofanyika leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa,akisisitiza jambo kwa washiriki (hawapo pichani) wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wa Mamlaka ya hali ya Hewa Tanzania,Dk.Agnes Kijazi ambaye ni Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,akitoa taarifa wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania; Dkt. Buruhani Nyenzi,akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

Muwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bi.Mariam Makomba,akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

Meneja utawala na Rasilimali Watu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Bi.Mariam Is-Haaq, akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri  wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani)  wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma.

……………………

 Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Hali ya Hewa ihakikishe inakusanya  mapato kwenye maeneo yote yaliyoainishwa na Sheria na  yanazitumia huduma za hali ya hewa kibiashara.

Kauli hiyo ameitoa leo Aprili 21,2022,Jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.

Waziri Mbarawa amesema Wizara yake  iko tayari kuwasaidia endapo kutatokea changamoto yoyote katika utekelezaji wa jukumu hilo la ukusanyaji wa mapato.

“Hata hivyo, kuna jambo ambalo nadhani ni vizuri mkalifamu na kulifanyia kazi.Majadiliano yenu yajikite kuwaelimisha wadau kuitekeleza Sheria.Kuchangia huduma ni suala la kisheria hivyo kila mdau hana budi kulitekeleza,”amesema.

Aidha,Prof.Mbarawa ameitaka Mamlaka hiyo iainishe  bajeti na  njia za ukusanyaji wa mapato ili kuiwezesha taasisi kujiendesha kwa ufanisi.

“Natambua Serikali ni mdau mkubwa katika huduma zitolewazo kwa jamii (Public Good), wakati Serikali inatekeleza jukumu hilo wadau wanaotumia huduma kibiashara nao pia watekeleze wajibu wao wa kuchangia huduma,”amesema.

Kuhusu changamoto ya maslahi duni,Prof. Mbarawa amesema Wizara  kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – UTUMISHI inalishughulikia suala hilo ambapo ameahidi  taratibu zikikamilika maslahi ya watumishi ikiwemo mishahara itaboreshwa.

Pia, amesema amefurahi kusikia kuwa wapo  katika hatua mbali mbali za majadiliano ya kukubaliana Tozo mpya kwa sekta nyingine.

“Mmetoa mfano wa sekta ya Ujenzi, Kwenye maji kwa maana ya wale wanao miliki vyombo, na watalii; ambao hawajaanza kuchangia, na kwamba majadiliano yanaendelea vizuri. Nawapongeza sana katika jitihada hizi,”amesema.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wa Mamlaka ya hali ya Hewa Tanzania,Dk.Agnes Kijazi ambaye ni Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo amesema kuwa lengo la baraza hilo ni kupitia bajeti ya Mamlaka ya mwaka 2022/2023 na kufanya tathmini ya utendaji wa Mamlaka. Hii itasaidia kuongeza ubora na ufanisi katika utoaji wa huduma kwa umma kwa lengo la kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi.

Dk.Kijazi amsema kuwa Mamlaka imehakikisha viwango na taratibu za kimataifa za utoaji wa huduma za hali ya hewa pamoja na usimikaji wa vifaa na mitambo vinazingatiwa.

“Kuidhinishwa kwa Muundo wa Taasisi na Miundo ya Maendeleo ya Watumishi (Schemes of Services). Muundo wa Mishahara bado unaendelea kufanyiwa kazi,”amesema

Pia,kuendelea na taratibu za ununuzi wa Rada nne  za hali ya hewa zitakazofungwa katika Mikoa ya Mbeya, Kigoma, Dodoma na Kilimanjaro.

“Malipo ya awali yameshafanyika na Rada hizo zinaendelea kutengenezwa huko Marekani.Rada hizo zinatarajiwa kufungwa kati ya mwezi wa Julai, 2022 na Juni, 2023,”amesema.

Amesema TMA inakabiliana na changamoto ya  maslahi madogo ya watumishi hali inayopelekea wataalamu kuhamia katika Taasisi zingine.

About the author

Alex Sonna