MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana (katikati) akiwa ameongozana na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Mohamed Mchengerwa (kulia) na Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Urithi wa Utamaduni na Maadili ya Taifa kutoka Wizara hiyo, Boniface Kadili alipotembelea Kituo cha historia ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya vifaa mbalimbali Vilivyotumika wakati wa Harakati za ukombozi wa Afrika kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Urithi wa Utamaduni na Maadili ya Taifa wa Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni, Boniface Kadili huku waziri wa wizara hiyo akishuhudia, wakati Kinana alipotembelea Kituo cha historia ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya Maeneo mbalimbali ya Ukombozi wa Afrika nchini Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Urithi wa Utamaduni na Maadili ya Taifa wa Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni, Boniface Kadili huku waziri wa wizara hiyo akishuhudia, wakati Kinana alipotembelea Kituo cha historia ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Dar es Salaam.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akipata maelezo na kuzungumzia picha mbalimbali za Urithi wa Utamaduni na huku waziri wa wizara hiyo akishuhudia, wakati Kinana alipotembelea Kituo cha historia ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Dar es Salaam.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akifurahi pamoja na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamadudi, Mohammed Mchengerwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Said Yakubu wakisoma Chapisho la Hotuba Mbalimbali za Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alipotembelea maktaba ya wapigania ukombozi Kusini mwa Afrika, alipotembel alipotembelea Kituo cha historia ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Dar es Salaam.
*************************