Featured Kitaifa

CHONGOLO ATETA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA KAWE

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kawe wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu Maalum ya Wilaya katika ukumbi wa CCM Kawe, Jijini Dar Es Salaam leo Aprili 20, 2022.

About the author

mzalendoeditor