Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

grandpashabet

grandpashabet giriş

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA KUZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MUUNGANO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (kushoto) akizungumza wakati wa Mkutano ano na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya miaka 58 ya Muungano. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) –  Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

**************************

Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajia kuzindua kitabu cha Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa lengo la kuelimisha umma. Kitabu hicho kitazinduliwa tarehe 26 Aprili, 2022 siku ya kilele cha Maadhimisho ya miaka 58 ya Muungano na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Baada ya uzinduzi, Ofisi imepanga kuwa na mpango endelevu wa kutoa elimu kwa umma kuhusu historia ya Muungano na masuala ya msingi kuhusu Muungano. Inatarajiwa kuwa, Mpango wa elimu kwa umma utaongeza uelewa wa historia ya Muungano na masuala mengine muhimu kuhusu Muungano.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameyasema hayo leo 20/04/2022 wakati wa Mkutano na waandishi wa habari akiambatana na Mawaziri wenzake wawili ambao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) –  Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma

Dkt. Jafo alisema, Muungano unapotimiza miaka 58 ni jambo la kujivunia na hatuna budi kuendeleza mazuri yaliyopatikana kutokana na Muungano na kusisitiza kuwa maadhimisho ya Muungano kwa mwaka huu yataambatana na matukio mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuelimisha umma kuhusu historia ya Muungano, tulipotoka, tulipo na tunapoelekea kupitia kongamono litakaloongozwa na wabobezi mahiri wa masuala ya Muungano ambao wataeleza kwa kina historia ya Muungano, Misingi ya Muungano na Mafanikio ya Muungano kutoka pande zote mbili za Muungano.

“Wananchi wa pande zote za Muungano wamezaliwa baada ya Muungano, hali inayoonesha wazi uwepo wa umuhimu wa utoaji wa elimu ya historia ya Muungano pamoja na masuala ya msingi yanayohusu Muungano” Jafo alisisitiza.

Aidha, Waziri Jafo amesema kuwa kwa lengo lilelile la kuelimisha umma hasa vijana, yameandaliwa mashindano ya Insha kuhusu Muungano kwa wanafunzi wa shule za Sekondari ambapo kutakuwa na washindi sita (3 kutoka Tanzania Bara na 3 kutoka Tanzania Zanzibar) ambao watapewa zawadi siku ya tarehe 26 Aprili, 2022. Insha hizo zinawapa fursa wanafunzi kuelezea historia ya Muungano; mafanikio na changamoto za Muungano; na nafasi ya vijana katika kulinda na kudumisha Muungano.

Kwa upande wake Waziri Simbachawene amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maadhimisho na Sherehe Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa  ameridhia kuwa Mikoa, Taasisi za Serikali na Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama viadhimishe Maadhimisho hayo kwa kufanya shughuli za Kijamii katika maeneo yao ya karibu au Vikosi na Kambi zao kama vile kufanya usafi, kupanda Miti na kutoa huduma za afya. Kitendo hiki adhimu kitaleta hamasa kubwa, Umoja na mshikamano na kuuenzi Muungano wetu kwa heshima na taadhima kubwa.

Kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Waziri Juma amesema maadhimisho ya mwaka huu yanaenda sambamba na Maonesho ya Taasisi za Muungano yatakayoanza tarehe 22 Aprili 2022 mpaka tarehe 06 Mei 2022 pamoja na Kongamano litakaloenda sambamba na kumbukizi ya Miaka 50 ya Muuasisi wa Muungano Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.

About the author

Alex Sonna