Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITI MWENDO HELENA JOSEPH

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 20, 2026 amemkabidhi kiti mwendo  Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.  Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena  kiti hicho katika mazungumzo waliyoyafanya baada ya  mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Msanga wilayani Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026.  Wengine kutoka kushoto ni  Rehema Joseph, Monica  Simon, Pendo Juma na Mtoto aliyepakatwa ni  Dorcas Paul.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 20, 2026 amekabidhi kitimwendo kwa Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.  Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena  kiti hicho katika mazungumzo waliyoyafanya baada ya  mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Msanga wilayani Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026.  Wengine kutoka kulia ni Pendo Juma, Monica Simon, Rehema Joseph , Paul Joseph  na Mtoto aliyepakatwa ni  Dorcas Paul.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 20, 2026 amekabidhi kitimwendo kwa Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.  Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena  kiti hicho katika mazungumzo waliyoyafanya baada ya  mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Msanga wilayani Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026.  Pichani,  Waziri Mkuu akisalimiana na Helena katika makabidhiano hayo na wa pili kulia ni Rehema Joseph. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna