marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

OMR YAFUZU KWA KISHINDO 16 BORA MEI MOSI, 2026

Written by Alex Sonna

Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ‘Netiboli’ ya Ofisi ya Makamu wa Rais wakifanya mazoezi ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo baina yao na Timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Michezo ya Mei Mosi yanayoendelea katika Uwanja wa Mji Mwema, Mkoani Njombe Aprili 19, 2026Benchi la Ufundi la Timu ya Mpira wa Pete ‘Netiboli’ ya Ofisi ya Makamu wa Rais wakifuatilia mchezo baina ya Timu hiyo na Timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Michezo ya Mei Mosi inayoendelea katika Uwanja wa Mji Mwema, Mkoani Njombe Aprili 19, 2026.

………….

Timu ya Mpira wa Pete ‘Netiboli’ ya Ofisi ya Makamu wa Rais imefanikiwa kutinga kwa kishindo hatua ya 16 bora ya Michezo ya Mei Mosi, 2026 kwa kuifunga Timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mabao 52 kwa Tano (05).

Katika mchezo huo uliofanyika jana jioni (Aprili 19, 2026) katika Uwanja wa Mji Mwema, uliopo Halmashauri ya Mji Njombe, Timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais ilitawala sehemu kubwa ya mchezo huo na kuifanya Timu ya Wizara ya Mambo ya Nje kushindwa kutoa ushindani uliotarajiwa.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Kocha wa Timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mafuru Buriro amesema ushindi huo umeonesha dhamira ya kikosi hicho kutaka kuonesha ushindani katika mashindano hayo ili kufika hatua za juu.

“Tayari tumetambua ukubwa na ubora wa timu tulizokabiliana katika hatua ya makundi. Dhamira yetu baada ya kufika hatua ya 16 bora ni kuongeza juhudi, uwezo na maarifa ili kufika mbali zaidi” amesema Buriro.

Akizungumzia mchezo wa hatua ya 16 bora, Buriro amesema kikosi hicho kimepanga kuendeleza wimbi la ushindi na hali hiyo inachochewa na ushindi wa michezo mitatu ya Timu hiyo katika hatua ya makundi ambapo imeweza kukusanya alama sita na kuongoza kundi H lililokuwa na Timu nne.

Ameeleza kuwa pamoja na kushiriki kwa mara ya kwanza katika michezo ya Mei Mosi, wachezaji wa kikosi hicho wameonesha ukomavu wa hali ya juu na kukabiliana vyema na timu zenye upinzani mkali uwanjani.

Kwa upande wake, Katibu wa Michezo Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Marwa Nyaisawa amebainisha siri ya kikosi cha timu hiyo kufanya vizuri inatokana na hali ya umoja, upendo na mshikamano baina ya wachezaji na benchi la ufundi.

“Tumekuwa tukifanya vizuri katika mechi zetu kutokana na mshikamano uliopo ndani ya kambi sambamba na kujenga hali ya kujiamini kwa wachezaji wetu tangu tulipowasili hapa Njombe” amesema Nyaisawa.

Aidha Nyaisawa ametaja siri nyingine ni ushirikiano inaopatiwa Timu hiyo na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais ambayo imekuwa ikifuatilia kwa karibu maendeleo ya kambi ya timu hiyo kwa kuwapa morali wachezaji na benchi la ufundi.

Kabla ya kutinga hatua ya 16 bora, Timu ya Netiboli ya Ofisi ya Makamu wa Rais ilizifunga Timu za Wizara ya Maji (26-20), Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma (27-11) kabla ya kuitandika bila huruma Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (52-05). 

Timu zilizofuzu hatua ya 16 bora katika mchezo wa mpira wa pete ‘Netiboli’ ni Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Ofisi ya Rais IKULU, Wizara ya Maji, Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais UTUMISHI na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Timu nyingine ni Wizara ya Fedha, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wizara ya Uchukuzi, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mahakama ya Tanzania, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Michezo ya Mei Mosi, 2026 ni sehemu ya shamrashamra ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa tarehe 1 Mei yakibeba kauli mbiu isemayo “Michezo kwa Afya, Ajira, Furaha na Kazi Inaendelea; Kazi zenye staha ni Nguzo Endelevu katika Utekelezaji wa Dira 2050”.Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika harakati za kugombea mpira na Wachezaji wa Timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Michezo ya Mei Mosi inayoendelea katika Uwanja wa Mji Mwema, Mkoani Njombe Aprili 19, 2026.      

About the author

Alex Sonna