marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI YAMWAGA AJIRA MPYA ZAIDI YA 32,000 KATIKA SEKTA ZA ELIMU,AFYA,KILIMO,MIFUGO NA MAJI,WATUMISHI KICHEKO WAPANDISHWA VYEO NA KUBADILISHIWA KADA

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo April 12,2022 jijini Dodoma wakati akitoa kuhusu utoaji wa vibali vya ajira kwa watumishi wa umma nchini.

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo April 12,2022 jijini Dodoma wakati akitoa kuhusu utoaji wa vibali vya ajira kwa watumishi wa umma nchini.

SEHEMU ya waandishi wa habari na watumishi wa Wizara wakimsikiliza Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama,(hayupo  pichani) leo April 12,2022 jijini Dodoma wakati akitoa kuhusu utoaji wa vibali vya ajira kwa watumishi wa umma nchini.

…………………………………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

KATIKA kutekeleza ahadi ya kuajiri watumishi wa Umma Serikali  imetangaza ajira mpya zaidi ya 32,000 katika sekta za ualimu,afya,kilimo,mifugo,uvuvi na maji huku watumishi 92,000 wakipandishwa vyeo na 6026 wakibadilishiwa kada.

Katika sekta ya ualimu imetoa ajira 12,035 ambapo nafasi 9,800 kwa ajili ya walimu wa shule za msingi na sekondari,afya nafasi 10,285 zinazojumuisha nafasi 7,612 kwa ajili ya Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati zilizopo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Hayo yameelezwa leo Aprili 12,2022 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Jenista Mhagama wakati akitoa kuhusu utoaji wa vibali vya ajira kwa watumishi wa umma nchini.

Waziri Mhagama amesema Serikali imeamua kutekeleza ahadi yake ya kuajiri watumishi wengine 32,604 kabla ya mwisho wa mwaka huu wa fedha na mchakato wa ajira hizi unaanza leo.

“Niseme tu Taarifa hii ni hatua ya kwanza ya mchakato wa kuhakikisha utekelezaji wa ajira hizo unakamilika kabla ya mwaka wa fedha 2021/22 haujaisha. Utekelezaji wa Ajira hizi utaigharimu Serikali kiasi cha shilingi 26,297,541,175.00 kwa mwezi sawa na Shilingi 315, 570,494,100.00 kwa mwaka,”amesema.

Waziri Mhagama ameongeza kuwa katika ajira hizo mpya Serikali imezingatia mgawanyo wa ajira katika Sekta mbalimbali zikiwemo Elimu,Afya,Kilimo, Maji, Mifugo, Uvuvi pamoja na maeneo mengine yenye uhitaji mkubwa wa watumishi.

Aidha Waziri Mhagama ameziagiza Mamlaka za Ajira, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wizara ya Afya pamoja na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuhakikisha wanaendesha michakato ya ajira kwa uwazi, weledi, uadilifu.

“Pamoja na kutoa fursa sawa kwa waombaji wote kuweza kushiriki katika mchakato wa ajira hizi ili Serikali iweze kupata watumishi mahiri na wenye sifa stahiki,”amesema.
Amesema  sekta ya kipaumbele ni  elimu ambayo  imetengewa jumla ya nafasi 12,035 ambapo nafasi 9,800 kwa ajili ya walimu wa shule za msingi na sekondari.

Amesema  mchakato wa ajira hizo  utasimamiwa na Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Amesema  nafasi 2, 235  ni kwa ajili ya Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Elimu ya juu pamoja Wakufunzi wa Vyuo vilivyopo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Waziri huyo amesema mchakato wa ajira hizo utasimamiwa na Taasisi husika za elimu kwa kushirikiana na Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma.
Amesema sekta ya  Afya imekasimiwa nafasi za ajira 10,285 zinazojumuisha nafasi 7,612 kwa ajili ya Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati zilizopo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Amesema mchakato wa ajira hizo utasimamiwa na Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (TAMISEMI).
Amesema nafasi zingine 1650 kwa ajili ya kuajiri watumishi wa kada za Afya katika Hospitali za Kanda, Hospitali za Rufaa za Mikoa, Mchakato wa ajira hizi utasimamiwa na Wizara ya Afya huku Nafasi 1023 kwa ajili ya Vyuo vya Afya.

“Hospitali nyingine za kimkakati na zile za Mashirika ya Dini (District Designated Hospitals-DDHs) na Hiari ( Voluntary Agency-VAHs) zenye mkataba na Serikali ambapo Mchakato wa ajira hizo utasimamiwa na Wizara ya Afya kwa Vyuo vya Afya na Hospitali nyingine za kimkakati na Ofisi ya Rais, TAMISEMI kwa kwa Hospitali za DDHs na VAHs,”amesema.

Amesema nafasi 2,392 zinatarajiwa kujazwa kwenye sekta zingine za kipaumbele ikiwa ni pamoja na kada za Kilimo nafasi za ajira 814,Kada za Mifugo nafasi 700,Kada za Uvuvi nafasi 204,Kada za Maji nafasi 261 na Kada za Sheria nafasi 513.

Amesema   mchakato wa ajira hizo utasimamiwa na Wizara pamoja na Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma.
Amesema nafasi zingine 7,792 kwa ajili ya kuajiri Watumishi wa kada nyingine kwenye Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi nyingine za Umma.

Amesema mchakato wa ajira hizi utasimamiwa na Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi nyingine za Umma pamoja na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

“Nichukue fursa hii kuwaasa waajiri na waombaji wa ajira mpya kujiepusha na vitendo vya rushwa na udanganyifu hususan wa vyeti vya elimu na taaluma wakati na baada ya mchakato wa ajira hizi.

Waziri Mhagama ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) kufuatilia kwa karibu mchakato mzima wa ajira hizi ili kuweza kubaini na hatimaye kuzuia mianya yote ya rushwa na upendeleo.

“Nitumie fursa hii kuiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) kufuatilia kwa karibu mchakato mzima wa ajira hizi ili kuweza kubaini na hatimaye kuzuia mianya yote ya rushwa na upendeleo,”amesema.

About the author

Alex Sonna