marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis giriş

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

casino zonder cruks

Featured Kitaifa

BEI MPYA ZA MAFUTA KUANZA KUTUMIKA KESHO

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI wa Petroli  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw.Gerald Maganga,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dodoma kuhusu Bei Kikomo za bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia siku ya Kesho April 6,2022.

MKURUGENZI wa Petroli Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw.Gerald Maganga,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dodoma wakati akitangaza Bei Kikomo za bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia siku ya Kesho April 6,2022.

…………………………………….

Na Bolgas Odilo-DODOMA

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetaja bei  kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini kuwa zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano April 6,2022.

Hayo yameelezwa leo April 5,2022 na MKURUGENZI wa Petroli Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw.Gerald Maganga,akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dodoma kuhusu Bei Kikomo za bidhaa za Mafuta ya Petroli zinazoanza  siku ya Kesho April 6,2022.

Bw.Maganga amesemam kuwa Bei za rejareja na jumla za mafuta ya petroli ,dizeli na mafuta ya taa yaliyopokelewa Kupitia bandari ya Dar Es Salaam zimeongezeka ikilinganishwa na toleo lililopita la 2 Machi ,2022.

Amefafanua kuwa kwa Aprili ,2022 bei za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeongezeka kwa shilingi 321/Lita sawa na asilimia 21.45 mtawalia.

“Vilevile katika toleo lililopita bei za jumla za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeongezeka kwa shilingi 320.33/Lita sawa na asilimia 13.29, Shilingi 288.50/Lita sawa na asilimia 12.69 na shilingi 472.41/Lita sawa na asilimia 22.72 mtawalia,”amefafanua 

 Maganga amesema bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya petroli na dizeli kwa mikoa ya Kaskazini ikihusisha Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara zimeongezeka ikilinganishwa na bei zilizotolewa 2 Machi,2022.

“Kwa mwezi Machi mwaka huu,bandari ya Mtwara imepokea mafuta ya dizeli tu hivyo kwa Aprili 2022 bei za rejareja na jumla za mafuta ya petroli kwa mikoa ya Kusini yaani Lindi na Ruvuma zitakuwa sawa na zile zilizotangazwa tarehe 2 Machi,2022,

Kwa upande wa dizeli kwa mwezi Aprili 2022,Bei za rejareja na jumla za dizeli zimeongezeka ikilinganishwa na toleo lililopita la mwezi uliopita ,bei ya rejareja ya dizeli imeongeza kwa shilingi 281/Lita sawa na asilimia 11.12 na bei ya jumla ya dizeli ikiwa imeongeza kwa shilingi 279.99/lita sawa na asilimia 11.67,”amefafanua.

Ameeleza kuwa kwa kuwa hakuna matanki ya kuhifadhia mafuta ya taa katika bandari ya Mtwara, waendeshaji wa vituo vya mafuta kwenye mikoa ya Kusini wanashauriwa kuchukua mafuta ya taa kutoka bandari ya Dar Es Salaam na kwamba bei za rejareja za mafuta hayo katika mikoa hiyo itakuwa kulingana na gharama za kupokelea mafuta ya taa Kupitia bandari ya Dar Es Salaam na gharama za usafirishaji mpaka mikoa husika.

“Mabadiliko haya ya rejareja yanachangiwa na kubadilika kwa bei za mafuta katika Soko la dunia, gharama za usafirishaji na thamani ya shilingi ukilinganisha na dola za marekani,hivyo EWURA inaukumbusha Umma kwamba bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana pia Kupitia simu za mkononi Kwa kupiga namba *152*00#,”amefafanua

Hata hivyo Maganga amefafanua kuwa Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ili mradi bei hizo zisivuke bei kikomo au kushuka chini ya bei iliyoruhusiwa kama ilivyokokotolewa Kwa kutumia formula na kanuni za EWURA zinazopanga Bei za mafuta za mwaka 2022 zilizotangazwa kupitia gazeti la Serikali namba.57 la tarehe 28Januari mwaka huu.

About the author

Alex Sonna