marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

TET KUSAMBAZA VITABU VYA MAANDISHI YALIYOKUZWA NAKALA 60,283 KWA WANAFUNZI WENYE UONI HAFIFU

Written by Alex Sonna

Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akizindua baadhi ya vitabu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam.  Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akikagua baadhi ya vitabu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akizungumza wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo akizungumza wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu, OR TAMISEMI (Elimu) Mhe.Gerald Mweli akizungumza wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Lugoba, Kuruthumu Moshi akisoma kitabu cha nukta nundu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda(katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo wakionesha baadhi ya vitabu vilivyozinduliwa wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akizindua moja ya bajaji ambayo itatumika kwa walimu wenye mahitaji maalumu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo akizindua moja ya bajaji ambayo itatumika kwa walimu wenye mahitaji maalumu wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akiwa na baadhi ya viongozi wa waizara wakipata picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu uliofanyika leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam. 

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*******************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ilipokea kiasi cha bilioni 64 kwa ajili ya mradi wa  maendeleo kwa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO 19 hivyo kupitia mradi wa mpango huo, Wizara ilipokea jumla ya Shilingi 707,000,000/- kwa ajili ya kuchapa vitabu vya kiada kwa matumizi ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

Ameyasema hayo leo Aprili 5,2022 Jijini Dar es Salaam, Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda wakati wa uzinduzi wa kazi ya Kusambaza vitabu vya Breli na Maandishi yaliyokuzwa pamoja na ugawaji wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa vyuo vikuu.

“Fedha hii imeweza kuchapa jumla ya nakala 9,100 ya vitabu vya Braille vyenye jumla ya juzuu 32,140 pamoja na vitabu vya michoro mguso vyenye jumla ya juzuu 20,400”. Amesema Waziri Mkenda.

Aidha Waziri Mkenda amesema Wizara imeweza kuchapa vitabu vya kiada vya Maandishi yalikuzwa nakala 60,283 kwa ajili ya wanafunzi wenye uoni hafifu ambavyo vimechapwa katika uwiano wa vitabu vitatu kwa mwanafunzi mmoja (3:1).

Amesema Vitabu hivyo vitawezesha wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya uoni kujifunza kama ilivyo kwa wanafunzi wengine na kupata stadi na mahiri mbalimbali zitakazowawezesha kumudu changamoto mbalimbali katika tendo la kujifunza.

Hata hivyo amesema Serikali imekuwa na mahusiano mazuri na wadau mbalimbali wa maendeleo, na kupitia mahusiano hayo  imepata msaada wa kuandaa na kuchapa vitabu kutoka shirika lililopo nchini Korea Kusini liitwalo “Siloam Center for the Blind” lenye ofisi zake ndogo mkoani Kilimanjaro.

“Shirika hili limeweza kuchapa vitabu vya kiada vya Breli kwa sekondari kidato cha 1-6 nakala 4,000 za masomo ya English, History, Geography, Fasihi na Lugha na Sarufi kwa uwiano wa vitabu vitatu kwa mwanafunzi mmoja (3:1)”. Amesema 

Waziri mkenda amesema Serikali imenunua Tablets 175 kwa ajili ya kupakia kamusi ya Lugha ya Alama ya Tanzania kwa ajili ya wanafunzi viziwi na Audiometer 39 kwa ajili ya kupima kiwango cha usikivu kwa wanafunzi viziwi.

Ameeleza kuwa Vitabu hivyo vinakusudiwa kusambazwa kwa wanafunzi 3,677 katika shule 764 za wanafunzi wasioona na wenye uoni hafifu Tanzania Bara na Zanzibar pia vifaa maalum na saidizi vitagawiwa kwa wanafunzi 364 wenye ulemavu wa viungo, wasioona na wenye uziwi wanaosoma katika vyuo vikuu 11.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema vitabu hivyo vitasambazwa katika halmashauri zote Tanzania bara na visiwani kwenye shule zote zenye wanafunzi wenye mahitaji maalumu kwa uwiano wa vitabu viitatu kwa mwanafunzi mmoja na vya maandishi yaliyokuzwa vinasambazwa kwa uwiano wa 3:1.

Uwiano wa 3:1 ndo stahiki  kwa matumizi ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Shule zitakazonufaika zenye wanafunzi wenye uoni hafifu ni 697 na shule zenye wanafunzi wasioona ni 68″. Amesema 

Amesema vitabu walivyopokea kutoka shirika la Siloam Center for Blind la nchini Korea ni vitabu vya kiada ambavyo viliandikwa na TET na ubadilishwaji wa vitabu hivyo umefanywa kwa kutumia wataalamu wa TET na wale wa nchini Korea na uchapishwaji umefanyika nchini Korea.

Pamoja na hayo ameishukuru Serikali kwa kuhakikisha upatikanaji wa elimu bora kwa watoto wote bila kujali hali zao za kimaumbile.

About the author

Alex Sonna