Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WATAHADHARISHWA UPOTOSHAJI WA ELIMU YA LISHE

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, kwa uamuzi wa kutoa huduma za uchunguzi wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na elimu kuhusu namna ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kwa Watumishi wa Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa Kambarage, jijini Dodoma.
Meza Kuu ikiongozwa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda (kulia), wakati wa zoezi la kutoa elimu kuhusu namna ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kwa Watumishi wa Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa Kambarage, jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, akieleza kuhusu madhara ya kunywa pombe kupita kiasi na matumizi makubwa ya sukari kama miongoni mwa visababishi vya magonjwa ya moyo, wakati wa zoezi la utoaji elimu kwa Watumishi wa Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa Kambarage, jijini Dodoma.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bi. Scola Malinga (kulia) akiagana na Mtaalamu wa Maabara kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), baada ya kupata vipimo vya viashiria vya magonjwa ya moyo, katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Baadhi ya viongozi wa Idara, Vitengo na Watumishi wa Wizara ya Fedha, wakipata huduma za vipimo vya viashiria vya magonjwa ya moyo, katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Baadhi ya viongozi wa Idara, Vitengo na Watumishi wa Wizara ya Fedha, wakisikiliza maelezo ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge kuhusu viashiria vya magonjwa ya moyo, katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Watumishi wa Wizara ya Fedha wakipata huduma za vipimo vya viashiria vya magonjwa yasiyoambukiza, katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Watumishi wa Wizara ya Fedha wakipata elimu ya magonjwa yasiyoambukiza, katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha)

Na. Peter Haule, WF, Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto.
Rai hiyo imetolewa katika Ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha jijini Dodoma, wakati wa zoezi la utoaji wa huduma za uchunguzi wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na elimu kuhusu namna ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo magonjwa ya moyo, kwa watumishi wa Wizara ya Fedha.

Dkt. Kisenge alisema kuwa utoaji wa elimu kuhusu matumizi ya vyakula vya wanga inapaswa kuzingatia umri na hali ya afya ya mtu, kwani watoto na vijana wengi bado wanahitaji wanga kwa maendeleo yao ya mwili na akili, hususan wale wasiokuwa na changamoto za kiafya.

“Vijana na watoto wanahitaji vyakula vya wanga kwa ajili ya kupata nguvu na kusaidia ukuaji wa akili, upungufu wa wanga unaweza kusababisha watoto kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na kujifunza”, alisema Dkt. Kisenge.

Alisisitiza kuwa jambo muhimu ni kuhakikisha watoto wanapata lishe kamili kwa ajili ya ukuaji wao.

Alisema kuwa mahitaji ya vyakula hubadilika kulingana na umri, akibainisha kuwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka 50 wana vihatarishi zaidi vya magonjwa yasiyoambukiza ikilinganishwa na vijana.

Aidha Dkt. Kisenge, alitoa wito kwa Watumishi wa Wizara ya Fedha na watanzania kwa ujumla kula mlo kamili hususani vyakula vya asili zikiwemo mbogamboga na matunda ili kulinda afya za miili yao.

Akieleza kuhusu matumizi ya chumvi alisema kuwa wapo wanaopinga matumizi ya chumvi, alisema chumvi ni muhimu kwa maisha ya binadamu ikitumiwa kwa usahihi.

Vile vile amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha kuepuka matumizi ya yaliyopita kiasi ya pombe, vinywaji vinavyoongeza nguvu na kufanya kazi kupita kiasi, ametoa wito wa kupata mlo kamili, kufanya mazoezi na kuwa na utamaduni wa kupima afya.

Alisema kuwa utamaduni wa kupima afya unasaidia kupunguza gharama kubwa za matibabu na pia kumfanya mtumishi kuendelea kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, alisema kuwa ili Wizara ya Fedha iweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi unaotarajiwa, ni muhimu watumishi kuwa na afya njema.
Alisema ukosefu wa elimu kuhusu masuala ya afya unaweza kusababisha kupuuzwa kwa viashiria muhimu vya magonjwa vinavyohitaji kufanyiwa kazi mapema.
Bw. Mwenda aliishukuru JKCI kwa kutoa huduma hizo muhimu pamoja na ahadi ya kuendelea kufanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kila mwaka kwa watumishi wa Wizara ya Fedha.
Aidha, alisema watumishi wameonesha mwitikio mkubwa kwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi hilo ili kupata elimu ya afya na huduma za uchunguzi kutokana na umuhimu wake.

Alibainisha kuwa watumishi wa Wizara ya Fedha watatumia vizuri elimu waliyoipata kuhusu mtindo bora wa maisha, lishe sahihi na umuhimu wa kufanya mazoezi, ili kuwa na afya njema itakayosaidia kutoa huduma kwa watanzania kwa ufanisi.

About the author

Alex Sonna