marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

SERIKALI YATENGA BILIONI 53 KUIMARISHA MAWASILIANO VIJIJINI NA UBUNIFU WA TEHAMA

Written by Alex Sonna

 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah  Kairuki, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 30,2026 bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA 

Serikali imeendelea kuonesha dhamira ya dhati ya kusogeza huduma za mawasiliano karibu na wananchi pamoja na kukuza ubunifu wa teknolojia, baada ya kutenga zaidi ya shilingi bilioni 53 kwa ajili ya miradi ya mawasiliano vijijini na ujenzi wa vituo vya ubunifu vya TEHAMA katika Mwaka wa Fedha 2026/27.

Hayo yamesemwa leo Aprili 30, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah  Kairuki, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Waziri Kairuki amesema  kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 40 zitatumika kuimarisha mawasiliano vijijini kupitia ujenzi wa minara 636 ya simu nchini.

Ameeleza kuwa mradi huo utalenga kupunguza changamoto za mawasiliano katika maeneo yasiyo na mvuto wa kibiashara, hususan vijijini, ili wananchi waweze kunufaika na huduma za simu na intaneti kwa urahisi zaidi.

“Tutafanya upembuzi yakinifu katika mikoa yote 31 ili kubaini maeneo yenye changamoto za mawasiliano na kuchukua hatua stahiki,” amesema Kairuki

Mbali na ujenzi wa minara, wizara pia itasimamia utekelezaji wa Mkakati wa Mawasiliano ya Simu wa mwaka 2026–2031 pamoja na kutoa mafunzo kwa wataalamu wanaosimamia miradi hiyo ili kuongeza ufanisi na uwajibikaji.

Katika hatua nyingine, serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 13.7 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo Kikuu na vituo vidogo vya kuendeleza ubunifu wa TEHAMA (ICT Parks), hatua inayolenga kukuza uchumi wa kidijitali na ajira kwa vijana.

Kupitia vituo hivyo, wananchi watanufaika na mafunzo ya teknolojia zinazoibukia ikiwemo akili unde (Artificial Intelligence), pamoja na kuongezewa ujuzi wa kidijitali utakaowawezesha kushiriki kikamilifu katika uchumi wa kisasa.

Aidha, wizara itaanzisha mpango wa kitaifa wa mageuzi ya kidijitali, kuratibu uanzishwaji wa vituo saba vya ubunifu, na kusimamia programu maalum za kuwawezesha wabunifu na kampuni changa za TEHAMA.

Katika kuimarisha mifumo ya kidijitali, serikali itafanya kazi ya kuunganisha mifumo 110 ya TEHAMA katika majukwaa ya kitaifa ya kubadilishana data (Data Exchange), hatua itakayorahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi na taasisi mbalimbali.

Pia, kampeni za uhamasishaji kuhusu usalama wa mtandao zitaendeshwa kupitia vyombo vya habari, huku watumishi wa sekta ya umma na binafsi wakipewa mafunzo maalum ya kujikinga na matishio ya kidijitali.

Hatua hizi zinatarajiwa kuleta mapinduzi katika sekta ya mawasiliano na teknolojia nchini kwa kuongeza upatikanaji wa huduma, kukuza ubunifu, na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza katika matumizi ya TEHAMA barani Afrika.

About the author

Alex Sonna