Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

google

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat giriş

meritking

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

luxbet

pashagaming

casinoroyal

wonodd

almanbahis giriş

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

perabet

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

maxwin

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ARIDHIA VIJIJI 67 MAENEO YA HIFADHI KUBAKI MOROGORO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na viongozi pamoja na watendaji wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Mawaziri wa Kisekta kupeleka mrejesho wa Uamuzi wa Baraza la Mawaziri juu ya utatuzi wa wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Merry Masanja akizungumza katika kikao baina ya Kamati ya Mawaziri wa Kisekta na uongozi wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Kamati hiyo kutoa Mrejesho wa Uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu utatuzi wa wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Allan Kijazi akichangia hoja katika kikao baina ya Kamati ya Mawaziri wa Kisekta na uongozi wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Kamati kupeleka mrejesho wa Uamuzi wa Baraza la Mawaziri juu ya utatuzi wa wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Martine Shigella akizungumza katika kikao baina ya Kamati ya Mawaziri wa Kisekta na uongozi wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Kamati kupeleka mrejesho wa Uamuzi wa Baraza la Mawaziri juu ya utatuzi wa wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 

Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Morogoro Frank Minzikunte akichangia hoja kwenye kikao baina ya Kamati ya Mawaziri wa Kisekta na uongozi wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Kamati kupeleka mrejesho wa Uamuzi wa Baraza la Mawaziri juu ya utatuzi wa wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 9

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mvomero mkoani Morogoro Yusufu Makunja  akichangia hoja katika kikao baina ya Kamati ya Mawaziri wa Kisekta na uongozi wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Kamati kupeleka mrejesho wa Uamuzi wa Baraza la Mawaziri juu ya utatuzi wa wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 

……………………………….

Na Munir Shemweta, WANMM MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia vijiji 67 vilivyokuwemo maeneo ya hifadhi katika mkoa wa Morogoro kubaki ili kuwawezesha wananchi wake kuendelea na shughuli zao bila matatizo.

Hatua hiyo ya Rais Samia ni juhudi za za Serikali ya Awamu ya Sita kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975.

Kamati ya  Mawaziri wa Kisekta inayoongozwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula iko katika ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji mapendekezo ya Baraza la Mawaziri kuhusu utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji na mitaa 975.

Baadhi ya Mapendekezo hayo ni kubakisha vijiji na vitongoji 366 vilivyomo ndani ya hifadhi, kubainisha maeneo ya hifadhi yaliyopoteza sifa ili kugawiwa kwa wananchi na kuhakiki pamoja na kurekebisha mipaka kati ya hifadhi za misitu, wanyama na makazi.

Pia yapo mapendekezo ya kumega baadhi ya hifadhi na kugawia wafugaji na wakulima, kufanya mapitio ya sheria zinazohusiana na matumizi ya ardhi, kupitia upya sheria ya vyanzo vya maji inayozungumzia mita 60 na kufutwa kwa mashamba yasiyoendelezwa.

Akizungumza na uongozi na watendaji wa mkoa wa Morogoro kuhusiana na migogoro ya matumizi ya ardhi katika mkoa huo mwishoni mwa wiki, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula alisema mkoa huo unahusisha vijiji 81 kati ya 975 yenye migogoro ya matumizi ya ardhi.

‘’Katika kutafuta suluhu ya migogoro ya matumizi ya ardhi kwenye mkoa huu, viijiji 67 vitabaki katika maeneo yake na vijiji/mitaa 14 vitafanyiwa tathmini’’ alisema Dkt Mabula.

Moja ya eneo lenye mgogoro wa matumizi ya ardhi mkoani Morogoro ni Bonde la Mto Kilombero linalohusisha Pori Tengefu na Hifadhi ya Misitu inayochangia maji kwenye Mto Rufiji unaotumika pia kupeleka maji kwenye mradi wa kimkakati wa Bwawa la Mwl Nyerere.

Kwa mujibu wa Dkt Mabula, pamoja na maamuzi hayo ya serikali kila taasisi itakuwa na jukumu la kuhakikisha inalinda maeneo yake ya ardhi ili yasiweze kuvamiwa tena na wananchi.

Aidha, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi alitoa maagizo kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha taratibu zinafuatwa katika kusimamia utekelezaji wa maamuzi yanayotolewa na serikali kwa kuwa kutosimamiwa vyema kwa maamuzi hayo kumechangia kwa kiasi kikubwa uwepo migogoro ya matumizi ya ardhi kwenye maeneo mbalimbali.

Alionya wananchi wenye tabia ya kuvamia mashamba yanayofutwa na serikali na kuzitaka mamlaka za upangaji ambazo ni halmashauri kuhakikisha maeneo hayo yanapangiwa ile mipango wa matumizi ya ardhi kabla ya kuanza kutumika.

‘’Pale ambapo serikali imefuta mashamba, mashamba hayo lazima yarudi kwenye mikono ya halmashauri ili mpango wa matumizi uweze kuandaliwa’’ alisema Dkt Mabula.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Merry Masanja mbali na kuwapongeza wakuu wa wilaya kwa kazi kubwa wanayoifanya katika wilaya zao alisema bado kuna changamoto katika usimamizi wa maeneo hasa yale ya hifadhi.

‘’Kuna changamoto nyingi zinazosababishwa na watendaji wa serikali hasa katika maeneo ya hifadhi hapa morogoro kuna vijiji 46 vimesajiliwa ndani ya maeneo ya hifadhi’’ alisema Merry Masanja.

Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Hamis Chillo alieleza umuhimu wa kutolewa elimu kwa wananchi kuhusiana na masuala ya hifadhi na kusisitiza kuwa busara lazima itumike katika kutekeleza maamuzi yanayotolewa na serikali.

‘’Watu wanahitaji kupata elimu ya uhifadhi na wakiipata taaluma katika masuala hayo basi utekelezaji maamuzi ya serikali itakuwa rahisi kutekelezwa, busara lazima itumike’’ alisema Chillo.

About the author

Alex Sonna