marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

betebet

Uncategorized

PROF.KIKULA ATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WACHIMBAJI

Written by Alex Sonna

 
Greyson Mwase na Mwanahamisi Msangi, Dodoma

Mwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa Nchini kuweka utaratibu wa kukutana na wachimbaji wa madini na kutatua changamoto ili kurahisisha utendaji kazi wa Tume ili  Sekta ya Madini iendelee kuwa na mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa.
 
Prof.Kikula alitoa agizo hilo Machi 24, 2022 kwenye ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji za majukumu ya Tume pamoja na kutatua changamoto mbalimbali.
 
Profesa Kikula alisema kuwa wadau wengi wa madini pamoja na wananchi kwa ujumla wana matarajio makubwa kwenye Sekta ya Madini na kusisitiza kuwa Tume ya Madini imeweka mikakati mbalimbali ya kuimarisha huduma zake ili wananchi wote waweze kunufaika na wingi wa rasilimali za madini zilizopo nchini.
 
Ili kuimarisha umoja ndani ya Taasisi, Profesa Kikula alishauri watumishi wa Tume ya Madini kuanzisha mfuko wa kusaidiana wa SACCOS na kuendelea kushirikiana kwa kubadilishana uzoefu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini.
 
Aidha, aliwataka watumishi kujiendeleza kimasomo katika fani mbalimbali ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini, na kusisitiza kuwa Tume ya Madini itaendelea kutatua changamoto mbalimbali katika utendaji kazi.
 
Awali akizungumza katika kikao hicho, Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alieleza mafanikio ya Tume ya Madini tangu kuanzishwa kwake mapema Aprili 2018 ikiwa ni pamoja na ongezeko la ukusanyaji wa maduhuli kutoka shilingi bilioni 164 mwaka 2017 hadi shilingi bilioni 528.24  katika kipindi cha mwaka wa fedha 2019-2020.
 
“Katika mwaka wa fedha 2021-2022 tulipangiwa lengo la kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 650 ambapo kuanzia kipindi cha mwezi Julai hadi Februari, 2022 tumekusanya kiasi cha shilingi bilioni 412.27; tumeweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha tunavuka lengo lililowekwa ifikapo mwezi Juni mwaka huu,” alisema Mhandisi Samamba.
 
Alitaja mafanikio mengine kuwa ni pamoja na uanzishwaji wa masoko ya madini 42 na vituo vya ununuzi wa madini 75 ambayo yamerahisisha kwa kiasi kikubwa usimamizi wa biashara ya madini, ongezeko la kasi ya utoaji wa leseni pamoja na kaguzi za mara kwa mara kwenye migodi ya madini ambazo kwa kiasi kikubwa zimepunguza ajali zilizokuwa zinatokea mara kwa mara kwenye migodi.

About the author

Alex Sonna