slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

new unblocked games

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

hardcore porn

escort sapanca

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

palacebet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Kingroyal

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betmoney

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

onlyfans leaks

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

sophie rain leaks

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

betmoney giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

kumar siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

otobet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betmoney

tarafbet

güvenilir kumar siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

interbahis

betgar, betgar giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

betplay

cashwin

cratosroyalbet

casinomilyon

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casinoroyal

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

madridbet

truvabet

betgaranti

betoffice

Uncategorized

RC MTAKA ATAKA MPANGO WA UPANDAJI MITI BONDE LA MTO WAMI-RUVU

Written by Alex Sonna

MKUU  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akiongozana na Watalaamu wabobevu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI), Taasisi ya Watafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Dodoma na Bonde la Wami-Ruvu,wakitafuta mwarobaini wa kupanda miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma.

MKUU  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akimsikiliza mbobevu katika masuala ya misitu kutoka Ndaki ya Misitu Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Salim Malionde wakati wa ziara ya kutafuta  mwarobaini wa kupanda miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma.

MKUU  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI) Dk Revocatus Mushumbusi wakati wa ziara ya kutafuta  mwarobaini wa kupanda miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi wa Bonde la Maji Wami-Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy,akimueleza Mkuu  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,jinsi watakavyoshirikiana na wataalamu katika kutafuta  mwarobaini wa kupanda miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma.

MKUU  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akizungumza mara baada ya kukagua eneo la kupanda miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma ambapo aliongozana na  Watalaamu wabobevu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI), Taasisi ya Watafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Dodoma na Bonde la Wami-Ruvu.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Jabir Shekimweri,akiwataka viongozi wa bonde hilo kusimamia azma hiyo ya kukijanisha bonde wakati wa ziara  ya kukagua eneo la kupanda miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi wa Bonde la Maji Wami-Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy,akielezea jinsi walivyojipanga kusimamia na kuunganisha utalaamu kuhakikisha mpango wa kupanda miti katika bonde hilo unafanikiwa.

Mbobevu katika masuala ya misitu kutoka Ndaki ya Misitu Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Salim Malionde,akizungumzia jinsi watakavyotoa  ushauri na utalaamu kwa kamati ya usimamizi wa mradi huo ili kuhakikisha miti itakayopandwa inastawi.

Mkuu wa Kikosi cha JKT Makurupora Luteni Kanali Festo Mbanga, akiahidi kutoa ushirikiano  wa hali ya juu na kuhakikisha mifugo haingii katika eneo hilo na wapo tayari kutumia vijana hao kuchimba mashimo hayo mara watakaposhauriana na uongozi wa bonde.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akimsikiliza Mzee Shaban Nyamo ambaye pamoja na wanakijiji wengine wanadai  fidia ya ardhi waliohamishwa katika eneo hilo.

Katibu wa CCM Kata ya Makutupora Bw.Mrisho Juma,akimuomba Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka kusimamia na kutatua kero ya zaidi  Kaya takribani 600 zilizokuwa zikiishi eneo la chanzo Cha Maji Mzakwe katika Kata za,Mndemu,Gawaye,Mchemwa,Chihanga,Makutupora,pamoja na Mndemu wanaoomba wameiomba kuwalipwa fidia zao.

………………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

MKUU  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,amewataka watu wa Bonde la Mto Wami-Ruvu kuwa wasimamizi kwa kuandaa mpango wa ubunifu kwa kuanza maandalizi ya upandaji wa miti katika eneo la ekari 309 kwenye umbali wa kilometa 2.5 katika msimu wa mwaka 2022/2023.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara ya kukagua na kujionea upandaji miti katika bonde la Mzakwe ambalo ni chanzo cha maji yanayosambazwa katika Jiji la Dodoma

Mtaka aliongozana na Watalaamu wabobevu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI), Taasisi ya Watafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Dodoma na Bonde la Wami-Ruvu walifikia muafaka na kutafuta mwarobaini wa kunusuru miti aliyopandwa na kupanda mingine itakayostahimili ardhi ya bonde hilo.

Mtaka amesema kuwa anaitaka Mamlaka ya Bonde la Mto Wami-Ruvu kuwa msimamizi na kufanya maandalizi kwa kuandaa mpango wa ubunifu utakaonesha matokeo chanya ya upandaji huo, kabla ya kupanda miti katika eneo lenye ekari 309 lenye urefu wa kilometa 2.5 na upana meta 500.

“Mpango huo wa maandalizi unatakiwa kuonesha hatua za kuandaa eneo, uchimbaji wa mashimo na uandaaji miche na kinapofika kipindi cha masika, miti hiyo inapandwe ili kukijanisha bonde hili Nzakwe,”amesema Mtaka

RC Mtaka amesema kuwa lazima utafutwe mwarobaini kuhakikisha miti inayopandwa hapo inakua, inadumu na kustawi bila kuharibu chanzo muhimu cha maji.

Mtaka amesema kuwa pamoja na miti iliyopandwa na Rais Samia mwaka 2017 baadhi kunusurika ni kwa sababu ya vijana wa JKT Makurupora wanamwagilia na kuilinda, lakini mingine katika maeneo jirani ama imeungua na moto, imekauka na mingine imeliwa na mifugo.

Katika hatua nyingine Mtaka amewataka wawakilishi wa wanakijiji walioondolewa katika eneo hilo na viongozi wao wafike wakiwa na nyaraka zote za kudhibitisha malalamiko yao katika kikao kitakachofanyika ofisini kwake.

Amesema kikao hicho kitakachofanyika ofisini kwake Jumatatu saa 10.00 jioni, kitawashirikisha viongozi wa taasisi zilizosimamia shughuli ya kuwaondoa ambao nao amewataka waje na nyaraka.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri amesema kuwa muasisi wa upandaji miti katika eneo hilo ni Rais Samia na Makamu wa Rais Mpango anafuata nyayo za muasisi huyo, hivyo wao kama mkoa na wilaya wanatakiwa kuhakikisha bonde hilo linakijanishwa.

Shekimweri amewataka viongozi wa bonde hilo kusimamia azma hiyo ya kukijanisha bonde kufanya maandalizi ya kupanda miti ya aina mbalimbali inayostahimili na kugawa maeneo ya miti ya mapambo, matunda, dawa, utalii na kivuli katika eneo hilo.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Bonde la Maji Wami-Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy amesema, wapo tayari kusimamia na kuunganisha utalaamu kuhakikisha mpango wa kupanda miti katika bonde hilo unafanikiwa.

Mhandisi Mmassy amesema kuwa pia wapo katika maandalizi kuhakikisha wanaweka alama na kuchonga barabara kuzunguka eneo lenye ukubwa wa kilometa 460 za mujibu ambazo hakuna kazi zozote kufanyika katika eneo hilo na kuonesha eneo la kilometa 470 za kuishi lakini bila kilimo, na kutofugia mifugo.

Naye  mbobevu katika masuala ya misitu kutoka Ndaki ya Misitu Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Salim Malionde amesema kuwa wao wapo tayari kutoa ushauri na utalaamu kwa kamati ya usimamizi wa mradi huo ili kuhakikisha miti itakayopandwa inastawi.

Prof. Malionde amesema kuwa  watatumia utalaamu wao katika kutoa mawazo kwenye kamati na mpango utakaondaliwa na kufuatilia utekelezaji wake katika kuhakikisha miti itakayopangwa inakua na kustawi katika eneo hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI) Dk Revocatus Mushumbusi amesema kuwa watatoa ushauri na kutambua miti inayofaa kupandwa katika aina ya udongo uliopo hapo na kushiriki kikamilifu katika kutoa mchango wa kiushauri na kuhakikisha utunzaji wa miti.

Dk.Mushumbusi amesema miti jamii ya Acacia imekuwa katika eneo hilo kwa muda na hivyo wamekubaliana kuipanda miti hiyo kwenye eneo hilo.

Mkuu wa Kikosi cha JKT Makurupora Luteni Kanali Festo Mbanga amesema kuwa watatoa ushirikiano wa hali ya juu na kuhakikisha mifugo haingii katika eneo hilo na wapo tayari kutumia vijana hao kuchimba mashimo hayo mara watakaposhauriana na uongozi wa bonde.

About the author

Alex Sonna