Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AFUNGA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Rachel Mongi na kutowa maelezo ya Washiriki wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani waliopima afya zao wakati wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC).(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali wa SMZ na SMT, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha, kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika Mkoani Arusha.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia moja ya ngoma ya utamaduni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi huo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu mbalimbali vya Kiswahili vikioneshwa wakati wa ufunganji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha.(AICC) (Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor