Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Uncategorized

CHUO CHA MKWAWA CHATAKIWA KUTANGAZA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHAHADA ZA UMAHIRI 

Written by Alex Sonna

Na WyEST,IRINGA

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus  Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho.
 
Ameyasema hayo mkoani Iringa mara baada ya Kamati hiyo kukagua Mradi wa ujenzi wa Maabara ya Kemia na ya Viumbehai zinazojengwa katika chuo hicho na kuongeza kuwa mapato hayo yanaweza kutumika kujenga mabweni yatakayosaidia kupunguza changamoto hiyo.

“Nimeona katika taarifa yenu mna idadi ndogo ya wanafunzi wa Shahada za umahiri, inabidi mfanye jitihada kubwa kukitangaza chuo hasa katika Shahada hizo ambazo zina idadi ya wanafunzi wachache ili kujiongezea mapato ya ndani,” amesema Mhe. Nyongo.

Katika hatua nyingine Mhe. Nyongo pia ameitaka Wizara ya Elimu kufuatilia suala la kukiboresha kukipandisha hadhi Chuo cha Ualimu Mtwara ili kitumike kuzalisha walimu watakaofundisha katika Shule za Sekondari nchini.

“Tumejenga shule nyingi kipindi hiki na tuna upungufu wa walimu, nashauri Wizara ifuatilie suala la kuwa na Chuo Kikuu katika mkoa wa Mtwara ambalo limeshaongelewa hata bungeni ili tuweze kuzalisha walimu wengi watakaopunguza changamoto ya upungufu wa walimu katika Shule za Sekondari,” amesema Mhe. Nyongo.
 
Naye Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema Wizara imepokea mapendekezo yote yaliyotolewa na Kamati hiyo na kuahidi kwenda kuyafanyia kazi kwa kushirikiana na Taasisi husika.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa James Mdoe amesema Serikali imepokea mkopo wa Dola milioni 425 kupitia Mradi wa HEET zitakazotumika kuboresha Vyuo na Taasisi za Umma za Elimu ya Juu ambapo Chuo cha MUCE kitapatiwa Dola milioni 8 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya chuo hicho.
 
Katika hatua nyingine Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. William Anangisye amesema kwa sasa chuo kinatoa aina tatu za skolashipu ikiwemo wanafunzi 50 kila mwaka wanaofanya vizuri katika masomo ya sayansi kwenye mtihani wa Kidato cha Sita na wanafunzi 10 wanaofanya vizuri katika Shahada za Awali.

Ameongeza kuwa ya tatu ni ya wanafunzi wanne kutoka nchi za nje ikiwemo Ghana, Rwanda, Misri na Uganda ambao wanakuja kusomea Shahada ya Umahiri katika lugha ya Kiswahili. Aidha amefafanua kuwa kwa skolashipu zote hizo wanatoa nafasi za asilimia 50 kwa wanafunzi wa kike.

Awali, akitoa taarifa ya chuo, Rasi wa Chuo hicho, Prof. Esther Dungumaro amesema chuo kina jumla ya wanafunzi 5,795 wakiwemo 5,743 wa Shahada za awali na 52 wa Shahada za umahiri ambao wanakipatia chuo mapato ya hadi Shilingi bilioni 7 kwa mwaka kupitia ada.

Ameongeza kuwa kwa sasa chuoni hapo wana miradi miwili ya ujenzi ikiwemo ujenzi wa maabara ya kemia ambao utagharimu zaidi ya Shilingi bilioni 2.3 na ujenzi wa maabara ya viumbehai utakaogharimu zaidi ya Shilingi milioni 890.

About the author

Alex Sonna