Featured Kitaifa

WAZIRI HAMAD MASAUNI AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE KIKWAJUNI, MJINI UNGUJA ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akiwa na Viongozi mbalimbali wa Jimbo hilo, kukagua shughuli za maendeleo ya jimbo hilo, Mjini Unguja, Zanzibar, leo Machi 17, 2022. Kushoto ni Katibu wa CCM, Jimbo la Kikwajuni, Faridi Abdalla Hamad. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akipokea dafu kutoka kwa muuza madafu Juma Khamisi, wakati akiwa ziarani jimboni kwake kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo, leo Machi 17, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni, akila dafu eneo la Majumba ya Mjerumani, Jimbo la Kikwajuni, Mjini Unguja, Zanzibar, leo Machi 17, 2022, akiwa katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo, jimboni humo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

About the author

mzalendoeditor