Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiambatana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango,leo tarehe 17 Machi 2022 ameshiriki Kumbukizi ya Mwaka Mmoja wa Kifo cha aliyekuwa Rais wa  Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli , iliofanyika Chato mkoani Geita.

Previous articleWAZIRI BITEKO KUSHIRIKI KIKAO CHA BARAZA LA UCHUMI NA JAMII UMOJA WA MATAIFA
Next articleWAZIRI HAMAD MASAUNI AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE KIKWAJUNI, MJINI UNGUJA ZANZIBAR

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here