Uncategorized

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI CHATO

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Machi 2022 akiwasili katika uwanja wa ndege wa Geita uliopo Wilaya ya Chato kushiriki Kumbukizi ya Mwaka mmoja wa Hayati Dkt. John Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

About the author

mzalendoeditor