Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembea katika  Daraja la Magara mara baada ya kulizindua pamoja na  Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi, pamoja na wananchi mbalimbali wa Magara iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara mara baada ya kufungua Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara

Previous articleVIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA KUTANGAZWA KUPITIA SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES KUTAZAMWA NA ABIRIA WAPATAO MILIONI 90.2
Next article‘TANZANIA INATAMBUA UMUHIMU WA USHIRIKI WA WANAWAKE KULETA MATOKEO CHANYA KWA JAMII’: WAZIRI GWAJIMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here