marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

casino zonder cruks

Featured Kitaifa

MRADI WA HUAWEI WA TECH4ALL BARANI AFRIKA WASHINDA TUZO YA GSMA

Written by Alex Sonna

DigiTruck, darasa linalotembea ambalo hutoa mafunzo ya ujuzi wa kidijitali kwa wanajamii.

………………………………………………………………

Mradi wa mafunzo ya kidigitali unaofahamika kama TECH4ALL DigiTruck wa unaodhaminiwa na kampuni ya Huawei nchini Kenya umetambuliwa kimataifa kwa kuongeza idadi ya wanawake wanaofuata kozi za teknolojia na kufanya kazi katika sekta ya ICT.

Mpango huo unaoendeshwa na  Kampuni ya Huawei  kwa ushirikiano na Safaricom, Wizara ya TEHAMA ya Kenya, Kompyuta kwa Shule za Kenya, na shirika lisilo la kiserikali la kimataifa la Close the Gap ambayo pia yalitambuliwa kwa michango yao katika kufanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs).

Mradi wa DigiTruck ulizinduliwa nchini Kenya kwa mara ya kwanza mwaka wa 2019. Mradi huo unalenga kuleta teknolojia ya kidijitali katika mikoa yenye hali duni ya rasilimali na kuwawezesha watu kupata elimu bora na kuboresha maisha yao. Kufikia mwisho wa 2020, mradi umetoa huduma kwa maeneo 13 ya vijijini nchini Kenya, wanafunzi na walimu 1300, walitumia hadi saa 22,000 kwa mafunzo.

DigiTruck ni darasa tembezi (Mobile Class)  lililobadilishwa kutoka kwa kontena la lori lenye ufikiaji wa mtandao wa wireless, ambapo wanafunzi wanaweza kujifunza ujuzi wa kidijitali na kupata huduma ya intaneti.

“Ushindi huu ni utambuzi wa hali ya juu wa juhudi zetu pamoja na Huawei na washirika wengine katika kuunganisha wateja wetu kidijitali,” alisema Peter Ndegwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom.

DigiTruck ni sehemu ya mpango wa ujumuishi wa kidijitali wa Huawei TECH4ALL, unaolenga kutumia teknolojia, programu na ujuzi ili kuwawezesha watu na mashirika. Katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, TECH4ALL pia inaendeshwa nchini Afrika Kusini, Ghana na Mauritius.

Nchini Afrika Kusini, TECH4ALL imenufaisha zaidi ya wanafunzi 52000 kutoka zaidi ya shule 90 za msingi mijini na vijijini; nchini Mauritius, mradi unatumia kamera za chini ya maji kufuatilia miamba ya matumbawe inayotishiwa kwa wakati halisi ili kulinda na kurejesha hekta 5 za mfumo ikolojia wa miamba hiyo wakati nchini Ghana, mradi unalenga kuunda maudhui ya kidijitali kwa walimu na wanafunzi wa ndani.

“Nimefurahi kuona kwamba UNESCO na Huawei zinafanya kazi na taasisi zetu za kitaifa, hasa zile zilizopewa mamlaka na Serikali ya Ghana kukuza ujumuishaji kamili wa TEHAMA katika mfumo wa elimu,” alisema Yaw Osei Adutum, Waziri wa Elimu.

“Teknolojia ya habari na mawasiliano ICT inaweza kusaidia kuharakisha maendeleo kuelekea kila Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa, hasa SDGs muhimu ikiwa ni pamoja na Elimu Bora, Usawa wa Jinsia na Mabadiliko ya Tabianchi. Kama kampuni ya kimataifa ya TEHAMA  inayofanya kazi katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, tunajaribu kufungua uwezo wetu wa TEHAMA  pamoja na washirika wa ndani na wa kimataifa kwa ajili ya maisha bora, jamii bora, mazingira bora na mustakabali bora wa watu na vizazi vijavyo kutoka kanda hii "alisema Bw. Yang Chen, Makamu wa Rais, Huawei Kanda ya Kusini mwa Afrika.

About the author

Alex Sonna