Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Hamidu Shaka amesema kuwa Kamati kuu ya Halmashauri kuu Taifa ya chama hicho imeielekeza Serikali kuangalia upya Mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini ambao umekuwa ukilalamikiwa na wananchi kutoka na matendo yanayofanywa na baadhi ya maafisa na askari  kinyume na miongozo wa utendaji kazi wa jeshi hilo.

Shaka amesema hayo leo Machi 12,2022 akizungumza na waandishi wa Habari akitoa taarifa kwa umma kuhusu kikao cha Kamati ya chama hicho iliyoketi jana  chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Hassan.

Previous articleRAIS SAMIA ATETA NA KIKOSI KAZI CHA URATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA IKULU CHAMWINO DODOMA
Next article‘MKINICHAGUA KUWA RAIS NITARUHUSU BANGI-‘PROF.WAJACKOYAH

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here