RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Hamza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumza na kuwasilisha taarifa ya matayarisho ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania inayotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa Agosti 2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Hamza alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa taarifa ya matayarisho ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania, inayotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa Agosti 2022, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilisha mawazo na Kamisaa wa Sensa ya Watu na  Makazi Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Hamza, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

Previous articleMAJALIWA AZINDUA MIPANGO YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO YA WILAYA
Next articleRAIS WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN ATETA NA VIONGOZI WA DINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here