Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

mas

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

BASHUNGWA AWAWEKA KIKAANGONI WAKURUNGEZI HALMASHAURI 19

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa,akizungumza leo Machi 01, 2021 wakati akieleza mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani  kwenye kikao kazi cha Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara na waandishi wa habari kilichofanyika jijini Dodoma.

VIONGOZI mbalimbali wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa (hayupo pichani) wakati akieleza mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani  kwenye kikao kazi cha Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara na waandishi wa habari kilichofanyika leo March 1,2022 jijini Dodoma.

KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof.Riziki Shemdoe,akizungumza wakati wa mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani  kwenye kikao kazi cha Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara na waandishi wa habari kilichofanyika leo March 1,2022 jijini Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,akizungumza wakati wa mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani  kwenye kikao kazi cha Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara na waandishi wa habari kilichofanyika leo March 1,2022 jijini Dodoma.

………………………………………………………….

Na.Hamida Radhaman-DODOMA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amemtaka Katibu mkuu Profesa Riziki Shemdoe kupeleka maelezo ya kwanini Wakurugenzi wa Halmashauri 19 wamelimbikiza posho za madaraka ya watendaji wa kata miezi mingi bila kuwa na sababu yoyote.

Hayo ameyasema hayo leo March 1,2022 jijini Dodoma   wakati akitoa taarifa ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani kikao kilichowakutanisha viongozi mbalimbali wa serikali wa ngazi tofauti tofauti.

Waziri Bashungwa amesema kunabaadhi ya Halmashauri 19 zimekuwa na shida ambapo zimekuwa hazipeleki posho ya madaraka ya watendaji wa Kata huku akisema fedha hizo sio hisani ni lazima Watendaji wapewe kwani ni maelekezo ya serikali

Aidha amesema Watendaji wa Kata wamekuwa hawakai ofisini na wamekuwa wakuenda kwa wakurugenzi kuomba kupatiwa fedha hizo badala ya kufayashughuli za utendaji wa Kata na kuwahudumia wananchi badala yake wamekuwa watu wakwenda kwa wamurugenzi kuomba fedha tabaia alioomba kuachwa mara moja .

“Kumbukeni kwenye gazi ya Kata watendaji wakata ni watu muhimu sana kwenye kata ndio Mkurugenzikwenye ngazi ya kata ndio wanaokusaidia wewe Mkurugenzi kuleta Maendeleo kwenye Halmashauri yako hivyo nilazima mtambue umuhumu wao na Ndio maana Rais wetu amewawezesha hivyo jambo hilo ni lazima litekelezwe.

Na kuongeza kusema”Wakurugenzi 19 na Halmashauri zenu Mimi nataka kujua kwanini pesa hiyo imelimbikizwa kunawatendaji wengine tangia mwezi Desemba 2021 hadi leo kila siku wanaenda kufuatilia na wakati mwingine mnawajibu vibaya kumbukeni wale ni watumishi wenu wapeni moyo toeni muongozo ili aweze kusimimia maendeleo kwenye kata ,”amesema

Amesema maendeleo yoyote hayafanyiki bila kuwashilikisha watendaji wa Kata hivyo makatibu tawala mkasimiamie hilo kwani hakuna ardhi inayoitwa mkoa wala wilaya yote zipo kwenye Vitongoji Kata na vijiji tuwasamini natuwape miongozo sahihi

Hata hivyo amesema kumekuwepo na tataizo sugu pungufu wa matundu ya vyoo hasa kwenye shule za msingi wakurugenzi na makatibu tawala msisubiri maekekezo yatoke juu mjiongeze msisubiri kauli kutoka juu .

“Tumejengewa madarasa mazuri watoto wetu waweze kusoma bila kubanana hivyo tunasubiri Rais aje aseme na matundu ya vyoo wakati wakurugenzi na na Katibu Tawala mpo,”amesema Bashugwa.

Na kuongeza kuwa “Sasa wakurugezi kwenye bajeti ya fedha ya 2021 /2022 wekeni kiaumbele na mikakati mnakusanya mapato mengi za fedha ya ndani tatueni tatizo hilo la upungufu wa vyoo usisubiri vyombo vya habari vije viebue upungufu huo,”amesema .

Amesema takwimu zinaonyesha upungufu wa matundu ya vyoo kwa shule za msingi nchi nzima ni zaidi ya 200000 huku upungufu wa matundu ya choo kwa shuke za sekondari ni elfu 44605 .

About the author

Alex Sonna