marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

vdcasino

Featured Kitaifa

‘SERIKALI YAFANIKIWA KUBORESHA ELIMU RUKWA’: RC MKIRIKITI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti akizungumza na wadau wa elimu leo mjini Sumbawanga ambapo amesema mkoa umefanikiwa katika uandikishaji wanafunzi elimu ya awali na kidato cha kwanza mwaka 2022 .

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu akitoa maelezo ya awali kuhusu lengo la kikao cha wadau wa elimu ambapo amewataka kutoa maoni yao kuboresha elimu.

Sehemu ya wadau wa elimu mkoa wa wa Rukwa wakiwa kwenye ukumbi wa St. Maurus mjini Sumbawanga leo.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Joseph Mkirikiti akizungumza kwenye kikao cha wadau wa elimu mkoa kilichofanyika Sumbawanga leo ambapo amewataka kuhakikisha watoto 4,060 ambao walichaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu lakini bado hawajaripoti  shuleni wanajulikana walipo.

 Afisa Elimu Mkoa wa Rukwa Samson Hango akitoa taarifa ya hali ya elimu leo mjini Sumbawanga ambapo amesema mkoa huo unakabiliwa na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi 470 kwenye shule za sekondari kati ya mahitaji ya walimu 935.
(Habari na Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)

……………………………………………………..

Na .OMM Rukwa

Mkoa wa Rukwa umefanikiwa kuwezesha wanafunzi 16,264 waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka 2022 kuripoti shuleni kati ya lengo la wanafunzi 20,324 waliochaguliwa baada ya kufaulu mtihani wa darasa la saba mwaka jana.

Akizungumza katika ufunguzi wa kikao cha wadau wa elimu leo (24.02.2022) mjini Sumbawanga, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti alisema mafanikio hayo yametokana na jitihada za serikali ya Awamu ya Sita kufanikisha ujenzi wa madarasa 259 katika shule za sekondari chini ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19.

“Wanafunzi wa kidato cha kwanza walioripoti hadi kufikia tarehe 22 Februari, 2022 ni 16,264 sawa na asilimia 80.2 ya wanafunzi 20,324 waliochaguliwa. Na uandikishwaji wa wanafunzi wa darasa la elimu ya awali umefikia asimilia 90.4 baada ya wanafunzi 36,640 kuandikishwa kati ya wanafunzi 42,702 waliotarajiwa katika mkoa wa Rukwa” alisema Mkirikiti.

Mkirikiti aliwataka wadau hao wa elimu kuweka mikakati ya kujua watoto 4,060 ambapo hawajaripoti kidato cha kwanza wako wapi kwani serikali imeweka mazingira mazuri ikiwemo utoaji elimu bila malipo kwa elimu msingi.

Mkirikiti alitoa agizo kwa wadau wa elimu kufanya kazi ya kujua wanafunzi wenye mahitaji maalum walipo na ikiwemo sababu gani wengine hawajaandikishwa shuleni pia wakuu wa shule za sekondari za bweni kusimamia nidhamu za wanafunzi.

“Natoa wito kwa wakuu wa shule zenye hosteli wa mabweni kudhibiti mienendo na maadili ya watoto .Zipo dalili kuwa baadhi mienendo yao siyo mizuri” alionya Mkirikiti.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa mkoa alitoa pongezi kwa serikali ya awamu ya sita kwa kuupatia mkoa huo shilingi Bilioni 6.6 chini ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19 zilizotumika kujenga vyumba vya madarasa 259 shule za sekondari na madarasa 73 kwa vituo shikizi vya shule za msingi.

“Tunamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zilizowesha kujengwa miundombinu ya madarasa mapya yaliyowezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu 2022 kuripoti vema shuleni” alisisitiza Mkirikiti.

Naye Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu akizungumza kwenye kikao hicho cha wadau wa elimu alisema lengo lake ni kufanya tathmini ya hali ya elimu kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana na namna ya kuboresha sekta ya elimu. 

Dkt. Kasululu alibainisha kuwa wadau wanalo jukumu la kuhakikisha mkoa wa Rukwa unapiga hatua kubwa kwenye ufaulu na kuboresha mazingira ya utoaji elimu.

Akitoa taarifa ya hali ya elimu mkoani Rukwa katika kipindi cha mwaka 2020/2021 Afisa Elimu Mkoa huo Samson Hango alisema asilimia za ufaulu wa wanafunzi katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi haujaongezeka lakini mwaka 2020 ulikuwa asilimia 80.3 na mwaka 2021 ulikuwa asilimia 80.2

Kwa upande wa mtihani wa Kidato cha Nne Hango alitaja ufaulu umeongezeka toka asilimia 87.7 mwaka 2020 hadi asilimia 89.7 mwaka 2021 ambapo aliwapongeza walimu, wanafunzi ,wazazi na wadau wote kwa mafanikio hayo.

Aidha, Afisa Elimu huyo aliongeza kusema Mkoa wa Rukwa una jumla ya shule za msingi 382 zikiwa na wanafunzi 336,951 na sekondari 97 zenye wanafunzi 52,746.

Kuhusu changamoto ya upungufu wa walimu Hango alisema mahitaji ya mkoa ni kwa shule za msingi ni walimu 7,322 waliopo ni 4,163 na kufanya upungufu wa walimu 3,159 sawa na asilimia 43.

Hango aliongeza kuwa ikama ya walimu wa masomo ya sayansi katika shule za sekondari mahitaji ni walimu 935 ambapo waliopo ni 465 na upungufu ni walimu 470 na kusema mkoa unaendelea na mikakati wa kutafuta walimu wengi. 

Kikao hicho cha wadau wa elimu kimehudhuriwa na wajumbe zaidi ya 300 wakiwemo maafisa elimu , walimu, wawakilishi wa taasisi za kielimu na vyuo, wakuu wa Idara, wakurugenzi wa halmashauri ,wakuu wa wilaya, viongozi wa dini na kamati ya ulinzi mkoa.

Mwisho.

About the author

Alex Sonna