Uncategorized KICHWA CHA KWANZA CHA UMEME KWA MAJARIBIO YA RELI YA SGR CHAWASILI NCHINI 3 years agoby mzalendoeditor61 Views Written by mzalendoeditor Kichwa Cha Kwanza Cha umeme Cha Mkandarasi Kwa ajili ya kujaribu RELI ya SGR Morogoro mpaka Dar es Salaam kimewasili bandarini Kwa ajili ya majaribio hayo yatakayofanywa na Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkrz ya Uturuki FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn