Uncategorized

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri Kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Februari 16, 2022. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana.

Baadhi ya washirki wa Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza Kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

About the author

mzalendoeditor