RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Afrexim Bank kutoka Nchini Egypt ukiongozwa na Makamu wa Rais Mtendaji Bw,Amr Kamel (kulia kwa Rais) wakipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 16-2-2022.na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanja Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank Bw. Amr Kamel, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar Picha na Ikulu)