Photos

RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BOMANG’OMBE AKIELEKEA MOSHI MJINI

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Kikundi cha ngoma za asili ya kabila la Kimasai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Bomang’ombe Mkoani Kilimanjaro wakati akielekea Moshi mjini

About the author

mzalendo