PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika uwanja wa CCM uliopo kata ya Ilongero, jimbo la Ilongero,wilaya ya Singida Vijijini kuwahutubia,kuomba kura, kunadi sera na Ilani ya CCM ya 2025-2030 kwa Wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Oktoba 14, 2025 mkoani Singida.