Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Uncategorized

TBS YAPOKEA CHETI CHA KIMATAIFA CHA ITHIBATI UTOAJI HUDUMA ZA UTHIBITI WA MIFUMO YA KIMENEJIMENTI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe,akizungumza wakati wa hafla ya kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof.Othman Chande Othman,akizungumza wakati wa hafla ya kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa SADCAS,Bw. Victor Mundembe,akitoa salaam kutoka SADCAS wakati wa hafla ya kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora TBS, Lazaro Msasalaga,akielezea historia fupi ya tbs CB na utendaji kazi wake wakati wa hafla ya kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe (hayupo pichani)  wakati wa hafla ya kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe,akipokea cheti cha kimataifa cha ithibati cha utoaji huduma uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa SADCAS,Bw. Victor Mundembe.Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof.Othman Chande Othman,hafla iliyofanyika  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe,akimkabidhi cheti cha kimataifa cha ithibati cha utoaji huduma uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kilichotolewa na Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof.Othman Chande Othman.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu TBS Dkt.Athuman Ngenya hafla iliyofanyika  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu TBS Dkt.Athuman Ngenya,akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe (hayupo pichani) mara baada ya kuongoza zoezi la  kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuongoza zoezi la kupokea cheti cha ithibiti ya utoaji wa huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma.

…………………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA  la Viwango Tanzania (TBS),limepokea cheti cha kimataifa cha ithibati cha utoaji huduma uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti huku Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara,Exaud Kigahe ameipongeza TBS  kwa hatua hiyo.

Akizungumza wakati wa hafla ya kupokea cheti hicho kutoka Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCAS)  leo Mei 12,2022 Jijini Dodoma,Naibu Waziri  Kigahe amesema huo ni uthibitisho na ushuhuda tosha kuwa TBS inaendelea kujizatiti na kutambulika kimataifa kupitia utekelezaji wa majukumu yake.

Kigahe amesema kuwa ithibati ina manufaa makubwa kwa taasisi za umma na binafsi na TBS inatoa huduma kwa gharama nafuu ikilinganishwa na gharama zinazotozwa na kampuni za nje ambazo zimekuwa zikitoa huduma hizo.

“Niwapongeze TBS kwa kufikia hatua hii kubwa ya kupata ithibati ya umahiri katika kutoa huduma ya ithibati ya umahiri katika kutoa huduma hii, sina shaka mtaendelea kudumisha na kuongeza wigo kwenye kutoa huduma zenye ithibati ya umahiri ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa taifa,”amesema Mhe.Kigahe

Aidha amesema kuwa hivi karibuni,makampuni ya nje yalipata changamoto kutokana na janga la UVIKO-19 hivyo kushindwa kutoa huduma kwa wateja wao,hali iliyopelekea wateja wao kupoteza uhalali wa kuwa na vyeti vya uthibitisho wa mifumo ya kimenejimenti.

”kutokana na tatizo hilo baadhi ya taasisi tayari zimefanya uhamisho wa kupata huduma ya uthibitisho wa mifumo ya kimenejimenti kutoka kampuni za nje kwenda TBS ili kunufaika na huduma ya uhakika kwa gharama nafuu.”amesema

Hata hivyo ametoa wito kwa taasisi za umma na sekta binafsi kuthibitisha mifumo yao ya kimenejimenti kwa kuitumia TBS ambayo imepokea cheti cha Kimataifa cha ithibati katika huduma hii.

”Tutaendelea kuisaidia TBS katika kutimiza majukumu yake na kuhakikisha inaendelea kuwahudumia wananchi kwa umahiri na ufanisi katika nyanja zote za uzalishaji bidhaa na utoaji huduma kwa mujibu wa sheria ya viwango Na.2 ya mwaka 2009 pamoja na marekebisho yake”amesema Naibu Waziri

Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora TBS, Lazaro Msasalaga, ametaja  hatua mbalimbali za kupata cheti hicho kuwa ni pamoja na kuweka na kufuata mifumo kulingana na matakwa yaliyoainishwa kwenye kiwango cha kimataifa ISO/IEC 17021.

“Kujipima utendaji kwa mujibu wa kiwango husika pamoja na matakwa ya tume ya ithibati na kuwa na wataalam wenye umahiri na weledi katika dhana nzima ya utoaji huduma,”amesema Bw.Msasalaga

Awali Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa SADCAS,Bw. Victor Mundembe,ameitaka  TBS kuhakikisha inazingatia ubora kwenye utoaji huduma hizo ili viwango vya ithibati hiyo visishuke.

Naye Mkurugenzi Mkuu TBS Dkt.Athuman Ngenya amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao  kuwatangazia wananchi, taasisi za umma na sekta binafsi kuwa huduma hiyo kwa sasa ipo TBS.

About the author

Alex Sonna