Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YATOA SIKU SITA KWA NCHI ZA AFRIKA KUSINI NA MALAWI KUONDOA VIKWAZO VYA KIABIASHARA DHIDI YAKE

Written by Alex Sonna

Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe,akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wanaotekeleza miradi ya kuwawezesha vijana na wanawake katika sekta ya kilimo Mazao uliofanyika leo Aprili 17,2025 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna_DODOMA

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania imetoa siku sita Kwa nchi za Afrika Kusini na Malawi kuondoa Vikwazo vya kiabiashara vinavyokwamisha Wakulima na Wafanyabiashara wa Tanzania kuuza bidhaa za Mazao katika nchi hizo.

Wito huo umetolewa leo Aprili 17,2025 jijini Dodoma na Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe,katika mkutano wa wadau wanaotekeleza miradi ya kuwawezesha vijana na wanawake katika sekta ya kilimo Mazao.

Bashe amesema kuwa hakuna Zabibu zozote wala Apples pamoja na mazao mengine ambayo yanaletwa hapa nchini kutoka nchi hizo za Malawi na Afrika Kusini yataingia hapa nchini bila ya wao kuondoa vizuizi ili mazao ya Tanzania yaingie kuuzwa.

“We are not losers kwenye hili game,kama hawaondoi hakuna zao lolote la kwao litaingia hapa nchini,niwaambie tu wafanyabiashara kwenye hilo hakuna kitakachoendelea,”amesema Bashe.

Aidha amesema serikali kupitia wizara ya kilimo,haijawahi kuzuia mazao ya nchi hizo kuingia hapa nchini sasa iweje wao wazuie mahindi kutoka Tanzania halafu wao wanyamaze kitu ambacho hajiwezekani.

Aidha amefafanua  zaidi ya kuwa hakuna mtanzania yoyote ambaye atapoteza maisha kwa ajili ya kukosa kula Apple la kutoka Afrika Kusini au Zabibu za nchi hizo wataendelea kutumia mazao ya hapa nchini.

Bashe amesema kuwa nchi haijawahi kumsumbua jirani yoyote kwenye soko la mazao,mara nyingi wakiwa na njaa wanapiga hodi na kusaidia sasa safari hii hakuna ndizi wala bidhaa yoyote ambayo itaingia hapa nchini.

Hata hivyo Waziri Bashe amewapa pole wafanyabiashara wa hapa nchini kutokana na adha kubwa waliopata wakiwa na mizigo ya mazao ya mahindi kupeleka katika nchi hizo.

Amesema  wasiwe na wasiwasi wowote kila kitu kitaakaa sawa na kuongeza kuwa safari hii hakuna bidhaa yoyote ya kilimo ambayo itapokelewa kama nchi hizo hazitafungua mipaka hiyo.

Bashe amesisitiza kuwa wafanyabiashara wasibebe kitu chochote kutoka katika nchi hizo 

About the author

Alex Sonna