marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

milanobet

imajbet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

Marsbahis

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

deneme bonus veren siteler

holiganbet

deneme bonusu

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

supertotobet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

ligobet giriş

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

milanobet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

kralbet

ligobet

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

casibom

Featured Kitaifa

UWT MASEKELO WAPONGEZA USHIRIKI WA WANAWAKE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, WAISHUKURU CCM KUMPA SAMIA MITANO TENA

Written by Alex Sonna

 

 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu, amewapongeza wanawake wa Masekelo kwa kushiriki kwa nguvu zote katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba, 2024, huku akiwaomba kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, 2025.

Pongezio hizi amezitoa leo, Jumatano, Januari 22, 2025, wakati wa mkutano wa kuwashukuru wanawake wa tawi hilo kwa ushiriki wao mzuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa. 

Mkutano huo pia ulilenga kufanya tathmini ya shughuli zilizopita na kuelezea mipango mbalimbali wanayoendelea nayo, ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wanawake kujisajili kwa mfumo wa kielektroniki ili kuwa wanachama hai wa UWT.

“Kwa niaba ya UWT tawi la Masekelo, tunawashukuru na kuwapongeza sana wanawake kwa ushirikiano mkubwa mliouonesha katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mlijitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi, mkashiriki kuchagua viongozi wa CCM, na kama matokeo yake yalivyo, CCM ilipata ushindi wa kishindo. Wanawake ni jeshi kubwa, na tunaweza. Mlijitokeza kwa wingi kutokana na kampeni ya hamasa ambayo UWT na chama kwa ujumla ilifanya nyumba kwa nyumba,” amesema Bi. Amina.

Aidha, Bi. Amina amewahimiza wanawake kuendelea kujisajili katika mfumo wa kielektroniki ili kuwa wanachama hai wa UWT, na pia kulipia ada za uanachama wa CCM.

“UWT tawi la Masekelo inaendelea kupokea wanachama kila siku. Naomba muendelee kujisajili UWT kwa mfumo wa kielektroniki na kuwa Wana Chama hai wa UWT. Pia, tunawakaribisha wale ambao bado hawajajiunga na CCM kujiunga, na kama una jirani au ndugu ambaye bado hajajiunga, mhamasishe aje tumsajili ili awe na kadi ya CCM”,ameongeza Amina.

 Amina Francis Mwandu 

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti huyo wa UWT amekishukuru na kukipongeza Chama Cha Mapinduzi kwa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea Urais wa Tanzania mwaka huu kwa Tiketi ya CCM. 

Bi. Amina ameeleza kuwa Rais Samia ni kiongozi mahiri ambaye ameleta maendeleo makubwa nchini, na kwamba wanawake wa Masekelo wanamuunga mkono kwa dhati.

“Pia, tunawaomba akina mama kuwa mstari wa mbele kufichua vitendo vya ukatili wa kijinsia katika familia na jamii kwa ujumla. Lengo letu ni kuwa na jamii salama, yenye kuheshimu haki za binadamu,” amesisitiza.

Kwa upande wake, Katibu wa CCM Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Monica Stanley, amewataka wanawake kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu, akihamasisha wanawake kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uongozi katika uchaguzi huo, pamoja na kuchagua Madiwani, Wabunge, na Rais kutoka CCM.

Naye Katibu wa UWT Kata ya Masekelo, Bi. Mwanahamisi Kazoba, amesisitiza kuwa CCM ina kila cha kujivunia kutokana na maendeleo makubwa yaliyofanywa chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano ujenzi wa zahanati katika kata hiyo, madarasa na kuboresha miundombinu ya barabara.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akizungumza kwenye mkutano wa UWT tawi la Masekelo. Kushoto ni Katibu wa CCM Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Monica Stanley akifuatiwa na Katibu wa UWT Tawi la Masekelo bi. Pendo Zabron

 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu akiteta jambo na Katibu wa UWT Tawi la Masekelo bi. Pendo Zabron (kushoto)

 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu na Katibu wa UWT Tawi la Masekelo bi. Pendo Zabron (kushoto) wakiwa kwenye mkutano
Katibu wa UWT Tawi la Masekelo bi. Pendo Zabron akimkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu kwenye mkutano
Katibu wa CCM Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Monica Stanley akuzungumza kwenye mkutano huo

Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Masekelo Rehema Kategire akizungumza kwenye mkutano huo
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Masekelo Elizabeth John akizungumza kwenye mkutano huo
Katibu wa UWT Kata ya Masekelo, Bi. Mwanahamisi Kazoba  akizungumza kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Kata ya Masekelo, Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Amina Francis Mwandu (katikati aliyevaa miwani na nguo ya kijani) akicheza muziki na wanawake wa Masekelo

About the author

Alex Sonna