Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watendaji wa ubioreshaji ngazi ya Mkoa kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoa wa Mbeya uliofanyika leo Desemba 16, 2024.
Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kushoto)
akizungumza jambo wakati wa mafunzo kwa
watendaji wa ubioreshaji ngazi ya Mkoa kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu
la Wapiga Kura mkoa wa Mbeya uliofanyika leo Desemba 16, 2024. Pamoja nae ni
Mkurughenzi wa Uchaguzi wa INEC, Bw. Kailima Ramadhani.
Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele
(katikati) akizungumza jambo wakati wa
mafunzo kwa watendaji wa ubioreshaji ngazi ya Mkoa kuhusu Uboreshaji wa
Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoa wa Mbeya uliofanyika leo Desemba 16,
2024. Kulia ni Mjumbe wa INEC, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar na kushoto ni
Mkurughenzi wa Uchaguzi wa INEC, Bw. Kailima Ramadhani.
Mrakibu msaidizi wa Uhamiaji Gerhard Mardai akiwasilisha mada kuhusua uaraia wakati wa mafunzo hayo.
Na Mwandishi Wetu
Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya uboreshaji wa Daftari mkoani Mbeya, Iringa na mkoa wa Dodoma kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ambapo uboreshaji utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 27 Desemba, 2024 hadi tarehe 02 Januari, 2025 na vituo vitafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za sheria, Selemani Mtibora akizungumza jambo wakati wa mafunzo mkoani Iringa.
Washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa uboreshaji ngazi ya Mkoa kutoka halmashauri zote za mkoa wa Iringa wakila kiapo cha kujitia uanachama na kutunza siri kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo leo Desemba 16, 2024.
Washiriki
wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa uboreshaji ngazi ya Mkoa kutoka
halmashauri zote za mkoa wa Mbeya wakila kiapo cha kujitia uanachama na kutunza
siri kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo leo Desemba 16, 2024. Walikula kiapo
mbele ya Hakimu Mkazi wea Mahakama ya Mwanzo Mbeya, Mhe, Upendo Moshi.
Washiriki
wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa uboreshaji ngazi ya Mkoa kutoka
halmashauri zote za mkoa wa Mbeya wakila kiapo cha kujitia uanachama na kutunza
siri kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo leo Desemba 16, 2024. Walikula kiapo
mbele ya Hakimu Mkazi wea Mahakama ya Mwanzo Mbeya, Mhe, Upendo Moshi.