Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI MGENI RASMI MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QURAN ZANZIBAR YALIOFANYIKA LEO MASJID JAMIU ZINJIBAR MAZIZINI UNGUJA.

Written by mzalendoeditor

AMIRI wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar Sheikh.Suleiman Omar Ahmed akizungumza na kutowa maelezo ya Jumuiya hiyo wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MUFIT Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza na kutowa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini, wakati wa Mashindano ya Kimataifa wa Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar Juzuu 30 Tashjee.Nassir Rashid Seif na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor