marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sakarya escort

izmit escort

matbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

marsbahis giriş

marsbahis

perabet giriş

interbahis

betmarino

betpipo giriş

imajbet

betmarino

casinowon

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

aaa

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

ngsbahis giriş

perabet

ngsbahis

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

vbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

lordcasino

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

deneme bonusu

jasminbet

jasminbet giriş

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

Featured Kitaifa

HUAWEI,CRASA ZASAINI MAKUBALIANO KUHARAKISHA MABADILIKO KIDIJITALI AFRIKA

Written by Alex Sonna

KAMPUNI ya Huawei imetiliana saini makubaliano(MoU) na Chama cha Wadhibiti wa Mawasilinao Kusini mwa Afrika (CRASA) wenye lengo la kuongeza kasi mabadiliko ya kidigitali barani Afrika.

Makubalinao hayo  yalitiwa saini na Katibu Mtendaji wa CRASA, Bi. Bridget Linzie na Mkurugenzi wa TEHAMA Idara ya Mikakati na Sera ya Huawei, Bw, Yang Hongjie, tarehe 29 Machi 2022 wakati wa Mkutano wa mwaka wa 11 wa CRASA uliofanyika Luanda nchini Angola na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 13 wanachama.

Chini ya makubaliano, pande zote mbili zinakusudia kubadilishana taarifa na mawazo juu ya sera na kanuni za TEHAMA, kufanya utafiti wa pamoja juu ya

usalama wa mtandao, ulinzi wa data, sera za jumuishi za kidijitali na teknolojia zinazoibukia kama vile 5G, na kuandaa shughuli za kujenga uwezo kupitia mikutano, warsha na mafunzo.

“Ninashukuru juhudi ambazo Huawei imekuwa ikichukua katika kuleta teknolojia za TEHAMA zenye ubunifu  zaidi katika nchi za SADC kwa miaka kaadha sasa na kushirikisha uzoefu na ujuzi wake wa kimataifa katika ukanda huu. Tutafanya hivyo kuimarisha ushirikiano na Huawei ili kuharakisha zaidi mabadiliko ya kidijitali kwa ukuaji jumuishi  katika kanda,” alisema Bi Bridget Linzie.

Mabadiliko ya kidijitali barani Afrika yalikua zaidi wakati wa janga la Uviko-19 na inatarajiwa kuendelea kukua katika kipindi cha baada ya janga, huku  miundombinu ya TEHAMA na huduma zikizidi kuwa muhimu kwa ukuaji wa tasnia na maisha watu binafsi.

“Nina furaha kwamba CRASA itakuwa na Huawei kama mshirika wa kimkakati wa kuunda mustakabali wa TEHAMA katika ukanda huu kwa kutoa msaada katika kuunganisha nchi zisizounganishwa kidigitali.

Katika enzi hizi za uchumi wa kidijitali, ni muhimu sana kuweka mazingira yanayowezesha kutumia teknolojia mpya kama 5G kuendesha uchumi wa kijamii, kuendeleza na kuimarisha usalama wa mtandao na ulinzi wa data. CRASA inatazamia kwa ushirikiano mzuri na Huawei katika maeneo haya ya kitaalam,” alisema Bw. Alfred Marisa, akimwakilisha mwenyekiti wa CRASA.

“Huawei ina furaha kuwa na fursa ya kushirikiana na CRASA ili kuharakisha maendeleo ya TEHAMA katika ukanda. Tumekuwa tukifanya kazi na wadau muhimu katika sekta ya kujenga mfumo ikolojia mzuri ili kutimiza maono yetu ya kuleta dijitali kwa kila mtu, nyumba na shirika ili kujenga ulimwengu bora uliounganishwa na wenye akili,” alisema

Bw. Yang Chen, Makamu wa Rais wa Huawei Kanda ya Kusini mwa Afrika.

“Tunaamini hivyo na juhudi zetu za pamoja kati ya Huawei na CRASA, watu wengi zaidi wataweza kunufaika kutokana na ukuaji unaochochewa na maendeleo ya TEHAMA.”

Tangu iingie Afrika mwaka wa 1998, Huawei imekuwa ikishirikiana na waendeshaji wa ndani na washirika katika kutoa suluhu na huduma za kibunifu za TEHAMA kwa watu bilioni 1.1.

About the author

Alex Sonna