Featured Kitaifa

TAMISEMI BINGWA WIZARA MTAMBUKA, NANENANE 2024

Written by mzalendo

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeibuka mshindi wa kwanza katika Kundi la Wizara Mtambuka katika maonesho ya Kitaifa ya NANE NANE yaliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.

Tuzo hii imetolewa katika zoezi la ufungaji na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi.

About the author

mzalendo