Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI YAJIPANGA KUBORESHA ELIMU NA KUONGEZA WALIMU WA SAYANSI, BIASHARA NA UFUNDI

Written by Alex Sonna

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo,akizungumza  wakati akifunga Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25 uliomalizika leo  Oktoba 24,2025 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna, Dodoma

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa elimu inaendelea kutekeleza mikakati kabambe ya utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023, ili kuhakikisha sekta hiyo inazidi kuboreshwa na kuwa jumuishi zaidi.

Akifunga Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25  leo Oktoba 24,2025 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo, amesema  serikali inajivunia mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika sekta hiyo na imejipanga kuongeza fursa za elimu kwa Watanzania.

“Tutaimarisha na kuongeza matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji, sambamba na kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali muhimu kwa ajili ya elimu,” amesema  Prof. Nombo.

Aidha, amebainisha kuwa serikali imeweka mpango mahsusi wa kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi, biashara na ufundi, ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira na mageuzi ya kiuchumi yanayoendelea nchini.

Prof.Nombo amesema kuwa wataendelea  kuiboresha sekta ya elimu nchini, ikiwemo kuimarisha maslahi ya walimu ili waweze kufundisha kwa weledi na kutoa elimu bora kwa vijana.

Hata hivyo Prof.Nombo, amesema walimu wana jukumu kubwa la kuhakikisha elimu ya Tanzania inakuwa ya tija, inayowawezesha vijana kujiajiri au kuajiriwa kulingana na mazingira wanayokabiliana nayo.

“Ni muhimu kuimarisha walimu wa sayansi, ufundi na biashara pamoja na kurahisisha upatikanaji wa rasilimali za ufundishaji ili elimu yetu iingie katika soko shindani la ajira,” amesema Prof.Nombo.

Prof. Nombo amewashukuru wadau wote wa elimu kwa ushirikiano wanaoutoa katika kuboresha sekta hiyo na kupongeza walimu kwa mchango wao mkubwa katika kuelimisha taifa.

“Hakuna elimu bila mwalimu, kwani ndio msingi wa kujenga nguvu kazi ya Tanzania yenye maarifa na ujuzi, tayari kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa,” ameeleza Prof. Nombo.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Elimu), Bw. Atupele Mwambene, amesema ili kufanikisha lengo la serikali la kupata vijana wenye uwezo mkubwa watakaoingia katika soko shindani la ajira, ni lazima kuimarishwa elimu ya awali na sekondari, ambayo ndiyo msingi wa kuwajenga vijana hao.

“Sisi kama sekta ya elimu bado tuna fursa za kufanya vizuri zaidi, kwa kuboresha na kuimarisha utendaji katika elimu ya awali, msingi na sekondari ili kuongeza upatikanaji wa elimu kwa vitendo,” amesema  Mwambene.

Dk. John Lusingu, mmoja wa wadau wa elimu kutoka Development Partners (DPs), amesema wadau wataendelea kushirikiana na serikali kuhakikisha juhudi za kuboresha elimu nchini zinafanikiwa.

Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki 367, wakiwemo wadau wa maendeleo, sekta binafsi, FBOs, taasisi za elimu ya juu, na walimu wa shule za msingi na sekondari, ambao wameshiriki kikamilifu katika mjadala na tathmini za utekelezaji wa sera ya elimu.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo,akizungumza  wakati akifunga Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25 uliomalizika leo  Oktoba 24,2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo,akizungumza  wakati akifunga Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25 uliomalizika leo  Oktoba 24,2025 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Elimu), Bw. Atupele Mwambene,akizungumza  wakati  wa  Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25 uliomalizika leo  Oktoba 24,2025 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo- (hayupo pichani) wakati akifunga Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25 uliomalizika leo  Oktoba 24,2025 jijini Dodoma.

Wadau wa Elimu pamoja na wanafunzi wakichangia mada mbalimbali wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Pamoja ya Sekta ya Elimu 2024/25 uliomalizika leo  Oktoba 24,2025 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna