Featured Kitaifa

AJALI: PROF NGOWI NA DEREVA WAKE WAFARIKI DUNIA

Written by mzalendoeditor

Makamu Mkuu wa Chuo Cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Profesa Honest Ngowi na dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo Jumatatu, Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari.

Taarifa za awali zinasema kuwa, ajali hiyo imetokea kati ya eneo la Kibaha/Mlandizi mkoaniu Pwani wakati wakiwa njiani kuelekea Kampasi Kuu ya Morogoro.

About the author

mzalendoeditor