Featured Michezo

MSHAMBULIAJI HATARI MAYELE AKIMPA DARASA CHIPUKIZI WA YANGA

Written by mzalendoeditor

KINARA wa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele akimpa maarifa ya kiushambuliaji na ufungaji mshambuliaji chipukizi wa timu hiyo, Yussuf Athumani katika mazoezi ya timu hiyo kambini kwao, Avic Town, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Yanga wapo kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya NBC dhidi ya Matajiri wa Chamazi timu ya Azam FC mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Chamazi Complex nje kidogo ya jiji la Dar es salaam mnamo April 6,2022.

About the author

mzalendoeditor