Makamu Mkuu wa Chuo Cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Profesa Honest Ngowi na dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo Jumatatu, Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari.

Taarifa za awali zinasema kuwa, ajali hiyo imetokea kati ya eneo la Kibaha/Mlandizi mkoaniu Pwani wakati wakiwa njiani kuelekea Kampasi Kuu ya Morogoro.

Previous articleMSHAMBULIAJI HATARI MAYELE AKIMPA DARASA CHIPUKIZI WA YANGA
Next articleAJALI:LORI LA MATOFALI, BAJAJI NA TREKTA YAUA WATU SABA MJINI BARIADI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here