Featured Kitaifa

MAJALIWA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI ALI HASSAN MWINYI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshuhudia Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed Ali akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo